Recent content by zirconia

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari ni katika mazingira yapi mtanzania aipigie kura upinzani na kuiacha CCM na Magufuli nimekosa majibu. Kupigia kura upinzani ni kuuza kura

    Akili tope kabisa, sa si upumbavu huu ulio andika Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Z

    JamiiForums Tanzania IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

    Kwa kubadili katiba si ndio
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Halmashauri Monduli, na viongozi wa Chadema wa Wilaya wajiunga na CCM

    Kama karanga alirudi we unafikiri kadogoo atabaki wakati Hawa ni pacha tuna wajua sana
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Halmashauri Monduli, na viongozi wa Chadema wa Wilaya wajiunga na CCM

    Karudi alipo toka sasa kuna jipya gani
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha tuna hali mbaya sana sio kwa jinsi uongozi wa chuo unavyotupelekesha

    Hiko chuo mayeso ya kuamisha viti unaweza toka nyangumi hadi papa, wasalimu chalicha, ngowi, papias. Mkumbusheni Dr. kasidi ajiongeze yasimkute ya Pro. Johannes
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako aahidi kuwashulikia watendaji wabadhirifu

    “Serikali ya awamu ya tano kwenye suala la udhibiti haina utani kila mtu ameona kazi ambayo imefanyika, tunapopata ripotri ya CAG, inatupa chachu ya kuendeleza na kazi nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya tano,” amesema
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Tangu mwaka 2015 - 2017..Graduates wameajiriwa wangapi

    Watu wanasota kitaani wee acha tu....
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Charles Hillary amkaanga Polepole kuhusiana na marudio ya uchaguzi, Polepole ajing'atang'ata

    Slow slow amna kitu alicho jibu pumba tu
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Leo paskali karamu uliyo tumia wino wake ni wa gold.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Shao amgeuka Magufuli, asema mizengwe kwenye uchaguzi mdogo ni ishara serikali haielewi maana ya demokrasia

    Duh, ndo kujitenga na uovu au? cjakupata sawia
Back
Top Bottom