kuna bwege nisinge zaa nae kabisa, ila kuna bwege zaidi nisinge mkula matakor yake alinipa gono super el-nino ya mwaka huu inasubiri
kubwa zaidi nisinge fuata makundi na kuacha kusoma hesabu leo inanigharimu pakubwa sana maana uwezo nilikuwa nao.
wafuasi wa ccm hata asome vipi hawezi ondoka upumbavu kichwani kwake
mbona mambo hayafanani kabisa, mfumo wa upatikanaji serikali una taratibu zake na zinatakiwa kufuatwa
ila huku kwingine inabaki mapokeo ya jamii na tamaduni zao
unafahamu kuna tamaduni mwanamke anakuwa na mke na anamiliki...
hii haramu ni kwa mujibu wa nani? imani zenu ama ni sheria ipi?
kama ni imani sio wote wanao amini kwenye upumbavu wenu
kutaka kila mmoja aamini kwenye upumbavu wenu nayo ni changamoto ya akili
nabii hajielewi anasema milango ya mauti imefunguka, hapo hapo anasema muumba hafurahishwi na kifo cha mdhambi ko anataka atubu ili afe akiwa hana dhambi
kwamba kuhama uwanja ni ulozi
wewe ulipo hamia genaral isamunyo kwa mechi ya yanga ilikuwa n ulozi
ama wewe ndo waruhusiwa kuhama uwanja tu akihama mwingine inakuwa ulozi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.