Recent content by zionale

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Nawaza au kutafakari tu! 1. Aliahidi Elimu Bure, Imewezekana - ametekeleza! 2. Akasema atadumisha nidhamu ya wataumishi, ametekeleza! 3. Akasema atapunguza matumizi ya serikali, kweli tumeona! 4. Akasema atapambana na wanaokiuka kanuni za matumizi ya fedha za umma, kweli tunaona! 5. Hili la...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya linaridhia serikali yao kuukubali mkataba wa EPA

    ewe unayejiita Gsam Kwanini ufanye jambo eti kwa sababu fulani kafanya. KWANI wewe huna akili za kutafakari? kwa nini uige? Sababu za maamuzi ya mwenzako unazijua? Wingi wa mali za tz zinazouzwa Ulaya ukilinganisha na kenya unaujua? Tambua mipaka yako ili uwe na maamuzi yako. Tanzania haiwezi...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Neno la Nyongeza: Tatizo la ATCL Halikuwa Ndege!

    good observation
  4. Z

    JamiiForums Tanzania MALEZI: Nilichokiona kwenye gari la shule la watoto wetu

    mzazi mwenzangu umenisikitisha sana kwa kutosimamisha hilo gari wala kumwambia dereva au matron. ulipaswa kusimamisha gari na kuchukua hatua. kumbuka mtoto wa mwenzako ni mtoto wako pia. Zamani kulikuwa na adabu kwa sababu mtu yoyote aliye mkubwa aliruhusiwa kukuchukulia hatua. any way ukiacha...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Huu mpango wa Serikali ni hatari sana kwa sababu unakwenda kuua ubora wa elimu yetu

    ndugu yangu kada wa chama, hoja yako haijapimwa kisayansi. Watu wote wenye shahada za sayansi iwe ni ufundi, kilimo, mifugo, wamesoma na kufaulu vizuru masomo ya sayansi kidato cha sita. Hivyo wanazo sifa za msingi za kuwa walimu wa sayansi. aidha, wameongeza ufahamu wao katika masomo hayo ya...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Maswali yangu kwa Jaji Mtungi, wa vyama vya siasa

    Nimetafakari kwa kina maelezo ya Tundulisu . Naomba kumuuliza yafuatayo? 1. kwa nini unamuuuliza msajili maswali ambayo majibu yake unayajua? 2. Niccollo Machiaveri alikuwa mbobezi wa siasa na harakati za uliberali. je alifanikiwa kuongoza? kwa nini? 3. Nani mwenye hekima ya dhahiri kati ya...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Wanazuoni leteni facts, je Maalim Sefu alimhujumu Mzee Jumbe

    Tunaomba wanazuoni mliobobea kwenye fatcs, hususan zilizopatikana baada ya utafiti ni kweli kwamba sefu alimhujumu mzee jumbe? kwani baadhi walipost humu kwamba sefu alimhujumu na wengine wakajibu pia humuhumu kuwa sefu hakumhujumu mzee wetu aliyehakikisha Zanzibar inakuwa na Katiba yake.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Shariff Hamad alivyomsaliti Alhajj Aboud Jumbe

    Duh! Ya kweli haya
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

    Anayefahamu historia ya Tundulisu atuweke wazi kwani mambo anayofanya ni tofauti kabisa na taaluma yake au anatafuta kitu anachokijua. Huwezi kutukana mtu hadharani. There is a problem somewhere inabidi wataalam watusaidie kumchunguza
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Sababu za serikali kuhamia Dodoma zabainika

    Bigup Sambai
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Sababu za serikali kuhamia Dodoma zabainika

    Hiyo ni thinking by rule of thumb. Wadanganye wanaodanganyika
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Tumechoka, Sumatra ni jipu, Magufuli tusaidie wasafiri wa barabara

    Utaendelea kuwatafuta sana sumatra kama lilivyo jina lako, ukweli ndo huo nauli ulitoa kwa hiyari yako ungeona hawatendi haki ungetoa taarifa polisi ambao wapo palepale kituoni. usilete povu huku.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Tumechoka, Sumatra ni jipu, Magufuli tusaidie wasafiri wa barabara

    Huku ni kusumbua watu, nauli ulilipa bila kulazimishwa halafu unataka kuleta mabishano huku, ulitakiwa upande na uwaambie hulipi nauli zaidi ya iliyopangwa. Tatizo letu ni kutaka tusaidiwe kila kitu hadi kutetea haki zetu. Sumatra walishatangaza nauli na gredi za mabasi hivyo usiwasumbue
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu ya viongozi wa CCM kukimbia Dar es salaam kwenda Dodoma

    Namshangaa sana mtu yoyote anayepinga kuhamia dodoma. Hebu someni history muone faida za Marekani kuhama newyork kwenda washington, Nigeria kuhama Lagos kwenda Abuja, India kuhama calcuta kwenda delhi, na nchi nyingine zilizohamisha miji miku kama vile Australia, Malawi, Brazil n.k Tauche kupiga...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuna jambo kubwa linaendelea kwenye akiba ya fedha za kigeni ya Tanzania

    Kunamengi yamefanyika ikiwa ni pamoja na kulipa cash manunuzi ya ndege achilia mbali, kulipa madeni ya wakandarasi n.k Kwa magufuli fedha inadhibitiwa kwa kiasi fulani hivyo ufujaji umepungua sana.
Back
Top Bottom