Recent content by Zinjathropus

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Usipokubali uongozi basi kubali kuongozwa na asiyejua uongozi

    *USIPOKUBALI UONGOZI BASI KUBALI KUONGOZWA NA ASIYEJUA UONGOZI* Ndugu yangu mTanzania, nakusalimu Sana popote ulipo. Kwa mara nyingine, nitumie fursa hii tena kwa pamoja nawe, kutafakari juu ya Jambo muhimu kabisa kwa taifa letu. [emoji117]Ni miaka mitano imepita tangu kufanyika kwa uchaguzi...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Tukio la morogoro lituongeze jicho la tatu

    *TUKIO LA MOROGORO LITUONGEZE JICHO LA TATU* Kwanza kabisa nitumie wino huu kuungana na mamilioni ya waTanzania wenzangu *kutoa pole kwa wote waliopoteza wapendwa wao* katika tukio la ajali lililotokea mkoani Morogoro, na M/Mungu azirehemu roho za wapendwa wetu walipoteza maisha kwenye tukio...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Karibuni tena majimboni Wabunge

    *KARIBUNI TENA MAJIMBONI WAH. WABUNGE* [emoji117]Kwa mujibu wa katiba yetu ya JMT '77 kazi/wajibu/jukumu la Mbunge ni: 1:Ni kiungo/daraja kati ya *wananchi na serikali* Maana yake anao wajibu wa kuhakikisha anawaunganisha wananchi na serikali yao kwa *kuyachukua matatizo/changamoto za...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kama hajapata Mshahara aniandikie barua, acheni kuwafanya wabunge Miungu watu

    Siku zote MNA maneno mengi HVO, ila mtake mistake mshahara mtaenda kulipia kizimbani, kama mnadhani atawapigia magoti nyie ndo mtaenda kupiga magoti kizimbani, mabwana zako wanajua kinachoenda kuwatokea Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kama hajapata Mshahara aniandikie barua, acheni kuwafanya wabunge Miungu watu

    Utajua kama cha dampo au kitobo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kama hajapata Mshahara aniandikie barua, acheni kuwafanya wabunge Miungu watu

    Mtajua mkisimama nae kizimbani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kama hajapata Mshahara aniandikie barua, acheni kuwafanya wabunge Miungu watu

    Hilo amejifanya hajaliona Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kama hajapata Mshahara aniandikie barua, acheni kuwafanya wabunge Miungu watu

    Ameshaanza kuwaadhibu kwa kuwanyang'anya fikra zao, ndo maana unaona wamekuwa waropokaji na wakurupukaji bila kufikiria Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kama hajapata Mshahara aniandikie barua, acheni kuwafanya wabunge Miungu watu

    HV mhasibu anaweza Fanya transactions bila boss wake kujua ? Acha kujitoa ufahamu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kama hajapata Mshahara aniandikie barua, acheni kuwafanya wabunge Miungu watu

    Hayo ataenda kuyasema kizimbani Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu kupewa fedha za ubunge bila kuwepo bungeni ni hoja ya ukaguzi!

    Bunge linaendeshwa kwa mujibu Wa sheria, mahakama itasema kama ni sahihi kuzuia mshahara Wa Mbunge kinyume na sheria, na pengine naona serikaki inavokwenda kujivua nguo yenyewe kwa kufanya mambo kishabiki Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Nani kaenda Nairobi kutuwakilisha kwenye kongamano la "One Plannet"?

    Atakuwa kaenda faza hausi, si ndo boss wetu ? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Wazungu ni watu Makini sana... wamenyamaza si kuwa hawaoni hawasikii ya Nchi yetu

    Haya ni madhara ya MTU Mmoja kuliamulia Taifa, kwa sasa wengi ni vipofu Wa akili, ila baada ya miaka mingi ndipo watastuka, wakati huo tutakuwa tumechelewa na haitatusaidia, ni vyema tukayathamini mawazo ya waTz wenzetu badala ya kuwaita makoadi Wa mabeberu kumbe ndio ambao wanaiona dunia...
Back
Top Bottom