Wee utakuwa mwalimu kweli au mtumishi wa mwalimu mbona lugha unayotumia co nzuri,utakuwa professional wa matusi co ualimu,ndio mana unataka kuhama huko uliko kwa kuwa umekutana na wastaarabu mitusi hawaijui kwa hiyo unakosa raha,unataka uwe jarani na vijiwe vya wahuni.
Nimewavumilia muda,ivi mkifanya kazi kwenye vituo mlivyopangiwa kuna tatizo gani,walimu mnatia kichefuchefu,kama ndio ivyo wakuu wa mikoa na wa wilaya nao wakisha teuliwa wabadilishane mikoa fanyeni kazi acheni ubwege.
We unasema nakato siku iz kuna njia nyingi za kukuchukulia pakee yako mikadi yao yenyewe mibovu,nimekwisha badilishiwa kadi si chini ya 3,na nikifika wananiambia inapaswa nilipie,nimeamua kuisusa iyo a/c nimeenda bank nyingine,aiwezekani kadi miezi 3 mbovu,crdb badilikeni.
Mnyaturu hapo pana tatizo,mkuu wa kaya kapitea,mbona pinda alimwambia harudu kutoka kwa wavuna mafuta,huyo mtu ana cheo gani kuliko Pinda,watanzania endeleeni kuzinduka mpaka kieleweke,tumewachoka na ccm yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.