Recent content by Zimmermann

  1. Z

    Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

    Namkumbuka Uday Hussein....kijana alosumbua sana enzi zake...watu wangekuwa wanasoma historia na kujifuza wangeepuka mambo mengi mabaya kuweza kuwapata.... ila ndiyo hiyo tena absolute power inalevya balaa
  2. Z

    Tafadhali Rais Samia... Hakuna anayekuamini...

    Endeleeni kuua...si mmenogewa damu za watanzania....ila mjue hizi damu ndiyo anguko lenu na halikwepeki!
  3. Z

    Good morning, Samia haters!!!! Tanzania plays U-17 afcon final guys!!

    Siku hizi anacheza mpira mwenyewe?
  4. Z

    PICHA: Hii Inaonesha Lissu Kajikatia Tamaa Kabisa na Kuvurugwa akili. Jela ni Mwalimu Hodari asiyefelisha Masomo Yake

    Siku si nyingi ndiyo utajua akina nani nchi hii ndiyo wamechanganyikiwa...endeleeni kuwanyanyasa wapinzani...nyie si mnajiona ni Miungu watu
  5. Z

    Tanzania whitewashes post-election massacre of thousands of protestersKipchumba Ochieng The Economist

    Siwaelewagi ccm...unawezaje kujitekenya mwenyewe halafu ukacheka@?
  6. Z

    Askofu Rweyongeza: Hakuna taifa litakaloweza kuiangusha katoliki

    Ungei tag hii ng'ombe THE BIG SHOW
  7. Z

    Papa Leo XIV alikuwa na taarifa zote za uchaguzi hata kabla ya wao kwenda Vatican

    Waliamua tu kupeleka matak.o yao huko...akili ni zilezile za akina Lucy wa dovya...
  8. Z

    Kitendo cha serikali kutuma ujumbe wake kwa Papa Vatican kiwe ni ujumbe kwenu kanisa Katoliki Tanzania

    We kweli bwege...unafikiri kanisa katoliki ni kama bakwata? Hilo Umesoma Vatican News? wewe kweli taahira. Yaani mijitu imetapakaa damu halafu inapeleka mata.ko yao vatican nawe unaona ni jambo la maana.? Information za mauaji ambazo wanazo akina kitima na TEC, papa pia anazo...
  9. Z

    Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

    Unataka heshima ya kanisa ipotee lakini haiwezi kupotea kwa maigizo yenu ya vijora na yebo malofa nyie
  10. Z

    The ICC issued summons calls the President of United Republic of Tanzania to appear before the court

    Nahisi kuna mtu fulani alivyiona alipata tumbo la kuhara
  11. Z

    Inasikitisha sana. Kwamba Patrobas Katambi ni wa kupewa wizara nyeti kama hii kwa usalama wa taifa?

    Amepewa kwa sababu anaweza akaambiwa ujinga wowote na akaufanya.
  12. Z

    Naipongeza sana Serikali ya Samia Suluhu kwa kujiweka mbali na fitina za Kanisa Katoliki

    Pole sana...naumia ukiwa pande zipi? Kuwa katoliki raha sana....najivunia sana
  13. Z

    Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

    Utaishia kulalama tu shehe ubwabwa...hasira nyingi lakini huna lolote la kufanya....
Back
Top Bottom