Wadau naombeni ushauri wenu nipo njia panda,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 sasa,nipo njia panda katika kutoa maaamuzi,nina wachumba wawili lakini sijui ni yupi nimchague awe mwenza wangu wa maisha, mmoja amenizidi umri yeye kwa sasa ana miaka 34.
Yeye tangu utotoni tulikuwa tunaishi...