Habari Wana JF, Kama Kichwa Kilivyoeleza. Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi Na Mgahawa Kwa Kupanga Na Ikiwezekana Tuma Na Picha Ya Eneo Lenyewe tuje tuingie Mkataba.
Haya ndo Maeneo Ninayoitaji Eneo Hilo Liwepo;
i) - Sinza
ii) - Kinondoni
iii) - Magomeni
!v) - Mbezi Karibu na Magufuri...
Swali Nzuri Sana.
Nikili Na Nakubali kwamba Kweli kuna Baadhi Wapishi Huondoka Na vyakula Kwenye Shughuli ya Mtu Na binafsi Sipendezwi na Hili Swala kwani Linachafua Sekta nzima Ya Upishi Wa vyakula Shughulini.
Na Ukija kwa upande Wangu Moja Ya Kitu ninachozingatia Ni Uaminifu Na Weledi Kwenye...
Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana.
TUPIGIE SASA 0657 33 2814
Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.