Recent content by Zikambona255

  1. Zikambona255

    Kampuni ya simu ya Tigo punguzeni wizi

    Hii imekuwa too much. Mtu unajiunga GB 1 halafu baadae wanakwambia zimebaki MB 600 au MB 300 za Facebook. Mimi nimejiunga za mambo yangu kwanini mniwekee za Facebook kweny GB 1 yangu?
  2. Zikambona255

    Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Sio kuwafungia kwa nje unaweza uzio wawe watoka na kuingia kuku wa kiswaz ukimfungia hta kukua inakua ngumu
  3. Zikambona255

    Phone4Sale iPhone X Max

    iPhone Xs Max 64Gb: 2M 256Gb: 2.5M Call/whatsapp: 0715767420 Delivery uhakika Mikoa yote ndani ya saa 24
  4. Zikambona255

    Kikuu vs AliExpress

    Mzgo ukifika posta utatumiwa msg ya namba ya mzgo wako na gharama nafikir haizid elf 3 inategmea na KG ukienda unalipa pale pale Kuna kibank chao dak 10 unasepa
  5. Zikambona255

    Kikuu vs AliExpress

    AliExpress wanavitu vizr ishu inakuja kwenye kukufikia ukichukua oda ya kitu kikubwa unapata kwa haraka zaid kulko cc wazee wa elf 20 utasubir kwa siku. 41/55 nliagiza kava mwez wa 9 nmepokea mwez wa 11 ila n kava ya uhakika
Back
Top Bottom