Game of throne one of the best series on the planet, kuna vitu vingi sana vinavutia zaidi ya mapanga hebu kaa tena fuatilia story line vizuri namna wanavyo zungumza characters , kila character ni noma
Nahisi kutakuwa na shida kama unatumia APP hata mini jana nilijaribu ikagoma, lakini Ingia Google ingia website ya jamii forum log in tuma haigomi ndugu yangu kule
Hili swala la a anwani za makazi sizani kama linauhalisia,mfano kwenye kata yetu tulio chaguliwa almost watu wote hawakushiriki hilo zoezi, watano kati ya 42 ndo walishiriki anwani za makazi
Binafsi nadhani majina yaliyokuwa yanahitajika na muhimu sana ni ya usahili, kama ulifanukisha kufanya usahili kwa kuwa na connection au bila connection inabidi tutulie tuu, hata wakiamua kuyatoa tarehe 29.
Kwa watakao fanikiwa kupata ni kubeba begi na kwenda seminar kwa wale wa mbali, wale...
Namna ya muundo wa sensa iliyo pita na ya sasa ni mashariki na magharibi kwa kigezo cha uzoefu, na inawezekana asilimia kubwa hawajaomba miaka kumi mingi sana.
Wewe kama ulishiriki postcode jipe matumaini tuu, maana kuna rundo la watu hawakushiriki na wanauwezo mkubwa kuzidi wale walio pewa na...
Kwa mtazamo wangu ninavyo ona watu wote mnaosema kwamba kazi ya sensa wapewe watumishi wa serikari kwa kigezo eti itakuwa rahisi kuwapata sio sahihi kwa sababu zifutazo.
1.Kazi ya sensa safari hii inatumia vifaa vya kielectronic kwa hiyo sio walimu au watumishi wote wenye uwezo wa kutumia vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.