Unaposema 2015 upinzani ulipata wabunge wengi na halmashauri nyingi kulikuwa hakuna kauli ya kufuta upinzani awamu hii upinzani unatakiwa ufutwe wote wameanzia serekali za mitaa hakuna upinzani kwenye udiwani na ubunge kauli zimetoka za kwataka baadhi ya wabunge watafute kazi nyingine ubunge...
MWAISEMBA CR,
Tafadhali sana tuhesimiane unavyodhani sivyo humu mna watu wenye akili zilizoenda shule na zilizotulia usitudharau ukafikiri ww ni jasusi wa kisiasa ww habari hii umeipata wapi? Nani asiejua valangati la lowasa na jk?
Nani asiejua mtifuano wa sumae na ccm? Kuingia kwao upinzani...
Ni kweli ilikuwa nia ni kufika ikulu kwanza kisha baadae tumtafute mtu bora wa kutuwakilisha agenda kuu ni kuitoa ccm kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sheria ya chama mwanachama hawezi kumkosoa kiongozi wake hadharani kuna taratibu zake ila unaweza kumkosoa kiongozi yeyote hadharani ambae si wako
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.