UKAWA WANAONGOZA KATIKA TAFITI. Hapo vipi. Miaka yote ya tafiti naona matokeo yanashabiiana na matokeo ya uchaguzi. Tuseme nini sasa. Peoplezzzzzzzzzzzz
Kichwa cha thread yenyewe kinaonyasha ufinyu wa fikra katika uandishi wa habara. Kama siyo taaluma achana na magazeti yanayo kukera. Watafiti wa siasa za UKAWA ni Magazeti na blogs. Watafiti wa siasa za kitaifa huwakilisha maoni ya sehemu zote kwa watu wa maeneo yote. Upinzani huwajajipanga ndio...
wana JF bwana wanapenda positive report hata kama haiwezekani. Tafiti zote ambazo zilishafanyaka mara zote matokeo huwa na muelekeo huo huo. Yaani matokeo ya uchaguzi. Fanyeni tafiti nje ya jamii forum ndo utajua ukweli. Humu kazi ambayo huwa naona ni kupeana habari za kufanana na kufurahishana...
kweli JF kuna hewa wengi, kama hujui jambo ni afadhali utulie. Miaka yote mikutano ya kampeni kwa CCM lazima iwe na burudani. anayeshangaa mwaka huu inabidi asamehewe umri nao ni hoja.
HIVI NANI WANAHANGAIKA SAA HIZI UKAWA AU CCM. Kujipa matumaini si dhambi ila ukweli kama ni mabadiliko Lowasa si Kiongozi yeye ni tajiri. Hawezi hata kujieleza licha ya kuwa si kigezo cha msingi. HAWEZI KUONGOZI NCHI HII, na hawezi shinda. MAHESABU YA KURA ZAKO NI YA KIUTENDAJI. Kikwete si...
UKAWA, UKAWA, UKAWA. This time kwa upinzani imekuwa kazi mpya ya kujenga chama baada ya kubadili muelekeo sahihi ulioanza kujengeka vizuri. Sasa kilichofanyika ni kumnadi a popular person who is not a leader but rich. Nchi hii tunataka kiongozi. Ni washabiki wanalijua. CHAMA SI HOJA, HOJA NI...
some members humu wanadhani watanzania wote wana mawazo ya kufanana. Tutaonyesha 25 oct kuwa waTz wanaakili ya kuchagua KIONGOZI si Chama kama wengine wanavyotaka kuaminisha kuwa mabadiliko ni chama. NEVER
No fuse no nothing ukweli unabaki palepale. Tatizo vijana mnazidi ushabiki bila kutumia taaluma zenu. Utasikia mnafanya utafiti, oohhh GPA yangu nzuri, then badala ya kujenga hoja you come up with nonsense, Try to see beyond from what you see, hear beyond from what you hear and What is your view
kama unaijua nchi vizuri sawa LOWASA ATASHINDA, ila kama ndo udhabiki tu, RAIS NI MAGUFULI NA HII NASEMA KWA DHATI KABISA. Sababu za ushindi ziko wazi ana watu wa aina zote. Vijana, wazee, mjini na vijijini. ANA SIFA ZA KUWA KIONGOZI. kwa ushabiki utashikilia la kuwa hatashinda lakini ukweli...
Kwa wenye akili timamu wanapima mambo matatu ya mabadiliko, chama, kiongozi au mfumo. Hata taasisi ya kawaidi inaweza Kuharibiwa na kiongozi kwa mfumo ule ule au anaweza kuendesha vizuri kwa mfumo ulele. Mfumo hutegemea uwezo wa kiongozi katika kusimamia mambo ya msingi. So kwa taifa letu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.