Nimekuwa msomaji Wa kimya kimya Wa story zako ila naona nafsi inanisuta bila kutoa hata compliment. Mwee kusoma nisome bure hata hongera ya mdomo!!? Ni dhambi. Lara1 wewe ni zaidi ya entertainer. You have such a beautiful soul. Kufurahisha na kuburudisha watu bure ni kitu ambacho Mungu peke yake...
Maswali yangu juu ya uzi huu...huyo mwandishi kaajiriwa na Mwananchi au Magufuli?
Kwa nini atimuliwe kama kazi yake ni kuripoti?
Hao Mwananchi walimtuma au SISIEM walimuomba awe kwenye msafara wa Magufuli?
Kwa majibu ya wengi kwenye uzi huu yanadhihirisha kauli ya kwamba watanzania walio wengi ni wavivu wa kufikiri.Huwezi leo kutetea hoja ya CCM kukataa midahalo vipindi vilivyopita ETI iwe sababu ya CHADEMA kuikataa wakati huu.Huo ni ufupi wa kufikiri.Watu wenye nia njema ya kushika hatamu ya dola...
Mimi ni mwanajamvi mpya humu na nimevutiwa sana mada mbalimbali za kisiasa kipindi hiki cha uchaguzi.
Swali kubwa ninalojiuliza hasa baada ya Mh Edward Lowassa kujiunga na CHADEMA,KWA NiNI HAJIBU MWENYEWE SHUTUMA ZOTE ZINAZOELEKEZWA KWAKE?Kwa nini anasemewa?Hakuna ukweli mzuri kama ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.