Naleta uzi huu wa kumpa pongezi Mwl. Nyerere kwani mpaka anastaafu alikuwa na maisha ya mtu wa kawaida, lakini viongozi wetu wa sasa wanaingia madarakani maskini wanatoka madarakani matajiri wa kupindukia. Watu wa namna hii hawana nia nzuri na taifa
Ndugu wana jf nawaomba sana tuwaelimishe wananchi umuhimu wa kuwachagua wajumbe wenye kuweza kuichambua rasimu ya katiba kwa maslahi ya vizazi vijavyo siyo ilimradi kuchagua mtu eti kwa kuwa ni rafiki yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.