Mimi ni mhanga wa hilo tatizo, nilishapeleka malalamiko mpk makao makuu lakini sikupata msaada ila nilichogundua Pharmacy Council na wamiliki wa DLDM ni kama kuna sehemu wanaelewana
Bomba halikupita katikati ya hyo njia ila lipo pembeni na makazi ya watu yalishasogezwa. Hivi kama ile sio barabara husika je wakazi wa huko watumie njia gani? Kwa nini kulichimbwa mfereji wenye upana wa futi saba?
Wakazi wa mbagala kiburugwa tunaomba serikali iwajibike ipasavyo, barabara hii ni kubwa sana ila ni mbovu haipitiki kipindi cha mvua na kikiwa kipindi cha jua kali ni vumbi na mchanga mwingi kiasi kwamba inahatarisha watumiaji wake. Watumiaji wa hii barabara tunateseka.
Wanaingia jpili usiku na kulaza magari yao mgandini mpaka j3 jioni wanaanza kurudi bandarini na usiku wake ndio huanza safari ya kuelekea pemba na magari wanayotumia ni FUSO mali ya azam
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama utakuwa umesafiri na kupanda ndege tofauti bs utakubaliana na huyo mbunge, binafsi nilipanda Dreamliner yetu nikashangaa kuona wahudumu wetu wapo kawaida sana hata uchangamfu pia hawana
Tuweni makini na hiki kinywaji chetu pendwa watu wa tanga leo nimegundua chupa nyingi ambazo zipo madukani ni expired [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.