Recent content by Zerock

  1. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    😁😁😁😁😁 Quran imesema kila kitu....nazan unaogelea humo tu
  2. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    🙇🙇🙇🙇🙇🙇
  3. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    Huwez kumhukum mtu bila ushahidi (mashahid) Ni sawa na ww mtu akakushitak kuwa umeiba hlafu hana ushahidi
  4. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    Iko hivi Kama hakuna mashahid 4 lakin mwanamke na huyo mwanaume wakakiri kuwa wamefanya hicho kitendo, basi hukumu iko juu yao.
  5. Zerock

    JamiiForums Waamini Mungu Vs wasiomuamini Mungu, njooni tubishane kwa hoja.

    Tuelewane Unataka kujifunza au kubishana?
  6. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    Siyo mfumo dume. Ni dini inayolinda haki ya kila mtu/ kitu
  7. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    Wew umesoma madrasa, kwahiyo hata ukupinga, lakin utakuwa ukweli.
  8. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    Kuna bandiko lako la Mwanaume kutongoza mwanamke under 18
  9. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    Nadhan nimejibu swali lako la siku ile
  10. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    Kuna makundi mawili ya wazinifu 1) walioowa Hawa hukumu yao ni kupigwa mawe hadi kufa. Lakin hadi hukumu isimame lazma wawepo mashahidi (4) walioshuhudia hicho kitendo , chini ya mashahid 4 hakuna hukumu na uliyeshitaki utapigwa bakora 80 2) wazinifu ambao hawajaoa Kupigwa bakora 100 kila mmoja
  11. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    Kweli,ila sikutak kuandika aya yote... Nilitaka kuonyesha nani mhusika mkuu kwenye zinaa Ndo maana nimeinukuu nusu tu
  12. Zerock

    JamiiForums Ukame na kuadimika Kwa maji nchini kumeongezeka sana alipoingia Waziri Aweso, tatizo ni Nini?

    Mifumo Waarabu hawana stori za siasa,wanashindana kuboresha maisha ya watu wao. Sisi tunashindana kupanga mikakati ya kumkamata anaekukosoa. Imagine unapita barabarani uarabuni unakuta friji la maji ya kunywa tena ya baridi.
  13. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    Kweli Lakni wengi wana uwezo kiuchumi na bado nje wanamiliki madanga
  14. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    Ili zinaa kubwa itimie lazima ipite katika hatua (7) Mtume Muhammad (s.a.w) anasema Mwana wa Adam ameandikiwa fungu lake la zinaa, atalipata bila shaka. • Zinaa ya macho (kuangalia ) • zinaa ya masikio (kusikiliza) • zinaa ya ulimi (kuongea) • zinaa ya mikono (kushika) • Zinaa ya miguu...
  15. Zerock

    JamiiForums Hukumu ya zinaa katika dini

    Tatizo kanisa limekuzuia kuoa wake wawili au watatu
Back
Top Bottom