Vyuo vina maana gani ya kuwepo?
Yaani mtu akiamka aamua awe mganga, muuguzi, mwalimu au askari bila kupitia chuo.
Ukijiona una kipaji cha utangazaji nenda shule ya utangazaji. Siyo unajiona unakipaji cha utangazaji unaenda kusomea ushonaji kisha unarudi kutangaza
🇺🇦 🇷🇺 Ukrainian reconnaissance troops assist a wounded neighboring unit in evacuaighting under heavy Russian airtillery fire in the area of the village of Novotoretske, Donetsk region
Hii ni baada ya ule mzigo wa maiti 6000 wa mwezi uliopita.
Tunaambiwa huko mstari wa mbele wa mapigano warusi wanakufa kama nzige ila cha kushangaza Ukraine huwa wanakosa maiti za kubadilishana
🇺🇦 🇷🇺 02.07.2025 - Drone strikes on Russian ammunition depots by Ukrainian forces resulting in a catastrophic explosion Near the village of Velyke Orikhove, in Donetsk region. -
Huko kwenye uwanja wa vita Russia imezidiwa na wanajeshi wake wanakufa mithili ya nzige, ila cha ajabu wanaoshinda hawakomboi ardhi yao, ndio kwanza wanazidi kuipoteza taratibu taratibu
Umeisoma comment yangu au umekurupuka kujibu?
Nimesema nchi yoyote inayoinuka kijeshi huku iko kinyume na matakwa ya NATO huwa lazima ikumbane na vikwazo vya kiuchumi maana majeshi bila uchumi hakuna kitu utafanya.
China walikuwa wajanja walianza kujenga uchumi baada ya kukua ndio wameingia...
Taarifa fulani ikisomwa TBC na ITV haiwezi kutofautiana kiasi hicho.
Mfano juzi taarifa kubwa ya nchi ilikuwa ni uzinduzi wa daraja la kigongo-Busisi, ukipitia vituo vyote vilivyoripot taarifa hiyo utakuta gharama za mradi zinafanana, urefu wa daraja unafanana. Labda tuanzie hapo tuletee vyanzo...
Kumbe Israel bado haijaanza kuangusha vitu kwenye miji ya Iran. Kumbe Hospital, television na mfumo wa maji taka wa Tehran vyote hivyo vilipitiwa na kimbunga au tetemeko la ardhi siyo vitu vya israel
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.