Recent content by zephanialembris

  1. Z

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Hoseah Ezekiel Kashimba ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu PSSSF

    Wewe inakufaidisha nini?
  2. Z

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Hoseah Ezekiel Kashimba ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu PSSSF

    Mimi nipo kanda ya ziwa hapa nafanya kazi. Ukiangalia asilimia kubwa ya maeneo yake hakuna maendeleo kwasababu watu wa huku hawana desturi ya kuendeleza makwao kama kaskazini wanavyofanya. Huku mtu akifaulu shule nyumbani kwao watamsahau coz atapotelea mikoa iliyoendelea na kuwaacha wazazi wake...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Hoseah Ezekiel Kashimba ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu PSSSF

    Acha ukabila na sifa za kijinga. Kumbuka akiwa pale kwenye hiyo nafasi hatakupa chochote eti kisa ni msukuma. Pambana na hali yako.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    Mbona link yenyewe haikubali?
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada kurudia mwaka chuo kikuu

    ungeomba upya tcu coz inawezekana
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu St. John's University

    Warmly welcome to sjut
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu St. John's University

    Afu kama umezoea uzururaji badala ya kusoma, kwa pale lazima utateseka sana coz ni msuli mwanzo mwisho...yaani hakuna kupoteza muda hovyo kama pale udsm.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu St. John's University

    Afu isitoshe huendi chuo kikuu kuangalia majengo bali unaenda kusoma zako zen upite zako ukiwa na gpa nzuri itakayokuwezesha kupata ajira.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu St. John's University

    Bt yamefanyiwa maboresho sana kwahiyo yana hadhi nzuri ya kuwa chuo kikuu bora tz
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards

    Lkn inafurahisha jamani
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards

    Kazi kwenu jamani
  12. Z

    JamiiForums Tanzania N. Korea kupimana nguvu kijeshi na Marekani

    korea kaskazini wanajamba tu,hawana lolote la kuwatisha usa hata kidogo.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania N. Korea kupimana nguvu kijeshi na Marekani

    korea kaskazini wanataka kupotea kabisa katika dunia hii.waache tu waendelee kumchokonoa marekani coz marekani atamuonyesha cha mtemakuni.pumbavu sana korea kaskazini.
Back
Top Bottom