Recent content by zepeople

  1. Z

    JamiiForums Tanzania MWAKYEMBE: Viongozi wasiopenda kukaguliwa wasipande ndege [Channel 10]

    Nakutakia kaz njema Mwakyembe
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Pangua CCM - Jijini Dar...

    Tutaikomboa Tanzania kwa kura zetu ,Tumeanza tutafika
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Uzalendo umeniishia: Sasa naipenda CHADEMA

    People's power ! together is once!
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Uzalendo umeniishia: Sasa naipenda CHADEMA

    umekurupuka rudia kufikilia ulichokiandika ,yupi ni muuzaji unga kati ya ccm na chadema ,rejea orodha ya majina ya wauza unga utapata jibu yupi mhuni kati ya hawa anaye torosha wanyama na anayetoa siri za utoroshwajh huo .jfikirie kisha unijuze.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Uzalendo umeniishia: Sasa naipenda CHADEMA

    Kuna vyama vingi vya siasa nchini lakni chadema imenivutia kutokana na utendaji wake makini ndani ya chama na nje ya chama Haya ni yale yaliyo kwa upande wangu /kwa upande wake wapenda chama gani cha siasa na sababu za kukipenda ni zipi.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Nani mkombozi wa kweli kwa watanzania

    Wana jamvi mwenzinu na hili juu ya siasa za Tanzania tuna vyama vingi vya siasa kama vile CUF, CHADEMA, CCM, NCCR-MAGEUZI, UDP na vinginevyo kati ya hivi vyote ni kpi kina ukombozi wa kweli kwa watanzania Naombeni mawazo yenu wana jamvi.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Jimbo la Segerea kufanya mkutano leo

    Tupo pamoja pamoja tunaweza
Back
Top Bottom