Pangua CCM - Jijini Dar...

Pangua CCM - Jijini Dar...

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
913
Wana JF..

Hasa Wapenda Mabadiliko wote..
Wachukia Hongo Na Ufisadi..
Wanaokimbia mihadarati wote

Maada Hii inatuhusu..

Kwa Mujibu wa takwimu Za kisiasa Jiji Kiongozi la Mageuzi nchini Yaani Dar Kwa sasa bado ni Ngome ya CCM Hii haibishaniwi..CCM inaongoza halmashauri zote, CCM Ina wabunge wengi, madiwani wengi Na inaongoza serikali Za mitaa nyingi..

Kuna ukweli Kwamba takriban asilimia 89 ya wakazi wa Jiji hili plus Ccm members hawana Mapenzi Na CHAMA hiki kutokana Na Madudu mengi iliyofanya, inayofanya Na itayofanya kiuongozi..

Mbali Na takwimu hizi Bado tunashuhudia Chama hiki kikijizolea ushindi mnono Kwenye chaguzi mbalimbali Za kisiasa Ndani ya Jiji Kiongozi la Mageuzi Tanzania. Picha hii ni Kilema kwenye medani Za kisiasa hasa ukichukulia Wakazi wa jiji Hili Sasa tuko zaidi ya 4.36 million, Na ukichukulia watu 8.6 million ndio wapigakura Tanzania Nzima .. (2010) Na RAIS alishinda Kwa only 5.2million votes kuna Hoja ya kujenga Kwenye wakazi 4.36 wa jiji hili ukichukulia Na waliogomea kuhesabiwa wako humuhumu Jijini, si Hoja ya kuidharau Hata kidogo, lazima GT ya Nchi itumie vichwa vyao kupangua CCM Ndani ya JIJI HILI MAKINI.

Kwa fikra zangu Chama HIKI jijini KIMEJIKITA Kwenye mambo matatu
1. Miradi
2. Uhuru kwa VIONGOZI wake kutenda watakavyo
3. Uchawi

LEO TujaDili Hoja moja tu .. Miradi.. Ikumbukwe CCM imerithi Mali zote Za Serikali Na kuzifanya zake, viongozi wa serikali Za mitaa huhadaiwa kumiliki UONGOZI wa miradi iliyo katika mitaa Yao Na kifaidi kinachopatikana..tafadhali weka list ya kila mradi unaoujua wa Ccm then mwisho tutajua Cha kufanya nianze Kwa michache Kama chachu

1. Jengo la umoja wa Vijana Lumumba -wamepangisha ofisi nyingi Kwa Jodi ya zaidi ya milioni tatu Kwa mwaka Kwa ofisi.

2. Tanu mkoa. Ambayo ni Ccm mkoa jengo lile SIO Lao Lao ni Dogo pale pale Lumumba, jengo Hilo lenye orofa NANE lina maofisi mengi wamepangisha Kwa mamilioni ya Fedha.

3. Machinga Complex iko chini ya CCM,

4. Viwanja vya wazi na mpira Kama Biafra, MWEMBEYANGA viko chini ya Ccm Na wanakodisha Kwa tsh150,000 Kwa mkutano Kwa siku.

5. Jengo la ilala walipopangisha post-bank.

6. Majengo mengi Sana wamepangisha maduka Na frame Za Biashara

7. Soko la Tandale

N.K PLEASE ADD THE LIST
 
Dar ni tatizo kwani ukiangalia miji mingine Tanzania hauwezi kulinganisha na Dar es salaam kwanza nji huo wakazi wake wanajidai wako busy wakati ubize wao ni for nothing
Dar wanachelewesha mabadiliko wakati wao ndio wanaoishi maisha magumu kuliko miji yoyote hapa Tanzania

-Dar watu wanakula utumbo wa kuku,unakuta mtu anakaanga utumbo wa kuku na anauza watu wananunua,na vichwa vya kuku na miguu ya kuku inaonyesha ni jinsi gani maisha yalivyo magumu huko,lakini eti wako bize

-Dar ndiko sehemu ngozi ya ngombe inachemshwa eti watu wanakula supu ya ngozi ya ngombe halafu wanajidai wanafukuzana na maisha na linapokuja zoezi la kupiga kura wanawapa wezi nafasi za uongozi

-Dar ndiko viongozi wote wa juu wa chama na serikali wanafanya biashara ya kuuza sembe,wanafurahi kuona watanzania vijana wakiwa wanabembea baada ya kubwia bwimbwi wao wanaona ni fahari

Dar inachelewesha mabadiliko ndipo walipo wasomi wooote ambao hawana kazi wengi wamegeuka makuwadi wa viongozi ili wapate kuishi Dar,wengine wamefungua vituo vya Tuition baada ya kutembea hadi soli za viatu zikaisha upande mmoja na bado wamenunua simu au laptop kwa kuitetea ccm kwenye fb na jf pamoja na ujinga wote huo,wapo wanafunzi wa vyuo vyote vikuu ambao hawana kazi wamekaa ni umbea na majungu vijiweni hawajui watafanya nini ili kujikwamua katika hili lindi la maisha magumu

Dar mji mkuu lakini miundombinu mibovu,mvua zikimyesha watu wanasombwa na mafuriko,vyoo vichafu vinavyofunguliwa wakati wa mvua mtu unapishana na vinyesi barabarani

In short kuishi Dar sio kwamba una akili sana mikoani watu wamekubali na kubadilika na kukaribisha mabadiliko lakini Dar wanakoojiita wajanja bado wamezubaa wakati viongozi wote wako Dar lakini ndio mji mchafu kuliko wote Afrika Mashariki,hamna mabadiliko sababu watu wanajidai busy hawataki kubadilika sababu ya kujidai hawana muda au hawataki kuendana na kasi ya mabadiliko,hivyo kuwaachia wajinga wachache kuwaamulia wajinga wengi kwa kujidai wanakimbiza maisha katika mazingira mabaya,machafu magumu na kila aina ya takataka iko Dar
 
Usikonde mkuu , harakati zinazoendelea hivi sasa ni kabambe sana , hata RPF walipochukua RWANDA Kigali ndiyo iliyokuwa ya mwisho kabisa .
 
Obeid666,
Naona umeandika kwa hasira tu, hasa baada ya mtoa mada kuliita jiji makini!
But I agree with you kwamba Dar ni mji wa ajabu sana. ndiyo moyo wa uzembe na ubovu wa nchi hii na ndiko haswa kunakotakiwa kukombolewa kwanza.

Ninaishi hapa but nitasema naamini Dar ndiyo sehemu pekee wajinga wanapojiita wajanja. Tunahitaji kubadilika.

Hata hivyo hujaona la kuchangia kwenye mada ya mtoa hoja hapo huu? Changia kidogo tafadhali.
 
Dar ni tatizo kwani ukiangalia miji mingine Tanzania hauwezi kulinganisha na Dar es salaam kwanza nji huo wakazi wake wanajidai wako busy wakati ubize wao ni for nothing
Dar wanachelewesha mabadiliko wakati wao ndio wanaoishi maisha magumu kuliko miji yoyote hapa Tanzania

-Dar watu wanakula utumbo wa kuku,unakuta mtu anakaanga utumbo wa kuku na anauza watu wananunua,na vichwa vya kuku na miguu ya kuku inaonyesha ni jinsi gani maisha yalivyo magumu huko,lakini eti wako bize

-Dar ndiko sehemu ngozi ya ngombe inachemshwa eti watu wanakula supu ya ngozi ya ngombe halafu wanajidai wanafukuzana na maisha na linapokuja zoezi la kupiga kura wanawapa wezi nafasi za uongozi

-Dar ndiko viongozi wote wa juu wa chama na serikali wanafanya biashara ya kuuza sembe,wanafurahi kuona watanzania vijana wakiwa wanabembea baada ya kubwia bwimbwi wao wanaona ni fahari

Dar inachelewesha mabadiliko ndipo walipo wasomi wooote ambao hawana kazi wengi wamegeuka makuwadi wa viongozi ili wapate kuishi Dar,wengine wamefungua vituo vya Tuition baada ya kutembea hadi soli za viatu zikaisha upande mmoja na bado wamenunua simu au laptop kwa kuitetea ccm kwenye fb na jf pamoja na ujinga wote huo,wapo wanafunzi wa vyuo vyote vikuu ambao hawana kazi wamekaa ni umbea na majungu vijiweni hawajui watafanya nini ili kujikwamua katika hili lindi la maisha magumu

Dar mji mkuu lakini miundombinu mibovu,mvua zikimyesha watu wanasombwa na mafuriko,vyoo vichafu vinavyofunguliwa wakati wa mvua mtu unapishana na vinyesi barabarani

In short kuishi Dar sio kwamba una akili sana mikoani watu wamekubali na kubadilika na kukaribisha mabadiliko lakini Dar wanakoojiita wajanja bado wamezubaa wakati viongozi wote wako Dar lakini ndio mji mchafu kuliko wote Afrika Mashariki,hamna mabadiliko sababu watu wanajidai busy hawataki kubadilika sababu ya kujidai hawana muda au hawataki kuendana na kasi ya mabadiliko,hivyo kuwaachia wajinga wachache kuwaamulia wajinga wengi kwa kujidai wanakimbiza maisha katika mazingira mabaya,machafu magumu na kila aina ya takataka iko Dar
Ni kweli..
Ukweli huu Hapana asiye ufahamu, lakini tudadavue why? Kulalamika bila kudeal na vinasaba vya mhimili husika Bado haisaidii ..
 
Na moja ya Uchawi Mkubwa ni kuwalaza wakazi Wa Jiji hili wasichangie maada yoyote unayoleta chokochoko Kwa Chama hiki jijini..
 
Mtu akikosa cha kuongea huongea hata yale ambayo hayana maana kwa jamii.
 
Watu wa dar siyo wa kuchezea waachwe kama walivyo wanajua cha kufanya.
 
Ukweli ni mchungu sana lakini nafikiri kwanza wakazi wa dar wengi ni wabinafsi sana mtu anaangalia yy dili limetiki na kesho atapata maisha yataenda
pili,uwepo wa waumini wa dini ya kiislamu kwa wingi pia ni tatizo
Tatu,vijana wengi wanakula kwa madada na mama zao ambao pia wanategemea kupata pesa kutoka kwa viongozi wa CCM na serikali wanaowaonga kila kukicha ..kwahiyo wanaogopa kukata tawi walilokalia
Nne,Wasanii wa bongo movie,band na bongo fleva wanachangia kudumaza fikra za vijana wa dar.
 
Miguu ya kuku, utumbo, kichwa cha kuku, sambusa za viazi mviringo, ngozi kutengenezwa supu...yoote utayakuta Dar.

Dar MATUSI ndio lugha ya kawaida na inayosubiriwa kuidhinishwa rasmi kwa matumizi.

Mikoani raha sana kiukweli, hususan remote areas.
 
wana jf..

Hasa wapenda mabadiliko wote..
Wachukia hongo na ufisadi..
Wanaokimbia mihadarati wote

maada hii inatuhusu..

Kwa mujibu wa takwimu za kisiasa jiji kiongozi la mageuzi nchini yaani dar kwa sasa bado ni ngome ya ccm hii haibishaniwi..ccm inaongoza halmashauri zote, ccm ina wabunge wengi, madiwani wengi na inaongoza serikali za mitaa nyingi..

Kuna ukweli kwamba takriban asilimia 89 ya wakazi wa jiji hili plus ccm members hawana mapenzi na chama hiki kutokana na madudu mengi iliyofanya, inayofanya na itayofanya kiuongozi..

Mbali na takwimu hizi bado tunashuhudia chama hiki kikijizolea ushindi mnono kwenye chaguzi mbalimbali za kisiasa ndani ya jiji kiongozi la mageuzi tanzania. Picha hii ni kilema kwenye medani za kisiasa hasa ukichukulia wakazi wa jiji hili sasa tuko zaidi ya 4.36 million, na ukichukulia watu 8.6 million ndio wapigakura tanzania nzima .. (2010) na rais alishinda kwa only 5.2million votes kuna hoja ya kujenga kwenye wakazi 4.36 wa jiji hili ukichukulia na waliogomea kuhesabiwa wako humuhumu jijini, si hoja ya kuidharau hata kidogo, lazima gt ya nchi itumie vichwa vyao kupangua ccm ndani ya jiji hili makini.

Kwa fikra zangu chama hiki jijini kimejikita kwenye mambo matatu
1. Miradi
2. Uhuru kwa viongozi wake kutenda watakavyo
3. Uchawi

leo tujadili hoja moja tu .. Miradi.. Ikumbukwe ccm imerithi mali zote za serikali na kuzifanya zake, viongozi wa serikali za mitaa huhadaiwa kumiliki uongozi wa miradi iliyo katika mitaa yao na kifaidi kinachopatikana..tafadhali weka list ya kila mradi unaoujua wa ccm then mwisho tutajua cha kufanya nianze kwa michache kama chachu

1. Jengo la umoja wa vijana lumumba -wamepangisha ofisi nyingi kwa jodi ya zaidi ya milioni tatu kwa mwaka kwa ofisi.

2. Tanu mkoa. Ambayo ni ccm mkoa jengo lile sio lao lao ni dogo pale pale lumumba, jengo hilo lenye orofa nane lina maofisi mengi wamepangisha kwa mamilioni ya fedha.

3. Machinga complex iko chini ya ccm,

4. Viwanja vya wazi na mpira kama biafra, mwembeyanga viko chini ya ccm na wanakodisha kwa tsh150,000 kwa mkutano kwa siku.

5. Jengo la ilala walipopangisha post-bank.

6. Majengo mengi sana wamepangisha maduka na frame za biashara

7. Soko la tandale

n.k please add the list

nitachangia kwa herufi kubwa!

Tatizo ni dogo lakini wakati huohuo ni kubwa kwa sababu linahujumu demokrasia.
Tatizo lenyewe ni nini?
Wakati wengi dsm hawajuani, mtaa mmoja wakazi wengi hawafamiani kwa majina wala sura ila ni majirani na wanakaa pamoja hapo mtaani. Hii imekuwa mtaji tosha kwa ccm kuleta watu katika vituo mbali mbali kutoka sehemu kadhaa hapa jijini. Rejea uchaguzi mdogo wa udiwani vijibweni( cdm walikuwa bize na arumeru kumkampenia nassari) na wa hivi karibuni km vile makuburi.
Mwanya huu usipodhibitiwa ccm itaendelea kushinda labda zitumike juhudi binafsi kama za ubungo na kawe 2010.
Nawasilisha!
 
Dar mtu akipata supu ya ngozi, utumbo wa kuku, vichwa vya kuku na miguu ya kuku, sehemu ya kulala hata kama maji machufu yanamfurikia na nakukaa kwenye foleni masaa 3, angalau maji kutoka mara moja kwa wiki tayari kasharidhika. Mbaya zaidi kunawengine wanalala mitaroni pia wameridhika na maisha. DAR INAHITAJI MABADILIKO Ya KIFIKIRA, DAR INAHITAJI UKOMBOZI WA ELIMU YA KIJAMII
 
Back
Top Bottom