Recent content by Zenjiboe

  1. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kukamatwa Kwa Lissu Mbele Ya Wafuasi wake ni Ushahidi kuwa CHADEMA haina nguvu ya Umma na wala haiwezi kuzuia Uchaguzi kwa nguvu ya Umma

    Wakati Hayat Magufuli anapambana kutumbua majipu wapinzan walijitenga nae wakaanza kumuita dictator uchwara. Hapo ndipo watanzania wakatia akili kumbe hawa niwasaka tonge. Ilitegemewa wange msaidia ukizingatia agenda ya ufisad hasa ukirejea tukio la Mwemba yanga(List of Shame)
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Israel yakata usambazaji umeme kwenye maeneo yote ya gaza, lengo kuwalazimisha magaidi wa Hamas kuachia huru mateka 59 inaowashikilia hadi sasa

    Sasa wewe ndio umeongea mahaba zaid! Yoote ulioongea mbona yanafahamika!!! Hujajibu hoja naona unalukaluka tuu kwa mahaba
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Israel yakata usambazaji umeme kwenye maeneo yote ya gaza, lengo kuwalazimisha magaidi wa Hamas kuachia huru mateka 59 inaowashikilia hadi sasa

    Kushindwa ama kushinda angalia malengo ya vita. Baada ya lile shambuliz la HAMAS na Waisrael zaid ya 1000 kufa na wengi kuchukuliwa mateka. Jeshi la Israel lilianzisha vita kwa malengo ya kurudisha mateka na kuwamaliza HAMAS huku wakijiapiza hawawez kuongea na magaid. Na kwa namna ya jeografia...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Israel yakata usambazaji umeme kwenye maeneo yote ya gaza, lengo kuwalazimisha magaidi wa Hamas kuachia huru mateka 59 inaowashikilia hadi sasa

    Baada ya kushindwa ktk uwanja wa mapambano, Israel walilazimika kukubali mazungumzo ili kuwapata mateka wao. Cease fire ilikuwa katika awamu 2. Awamu ya kwanza ni kuachia mateka idadi kadhaa huku israel ikitoa wafungwa wa kipalestina waliozuiliwa ktk majela ya israel. Awamu ya pili ilikuwa Hamas...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Israel yakata usambazaji umeme kwenye maeneo yote ya gaza, lengo kuwalazimisha magaidi wa Hamas kuachia huru mateka 59 inaowashikilia hadi sasa

    Wameshindwa ktk uwanja wa mapambano wanageukia njia zisizokubalika mbele ya jamii ya kimataifa
  6. Z

    JamiiForums Tanzania WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

    Naunga mkono hoja. Uchumi ukue ili ajira ziwe nyingi. Tuzalishe bidhaa zenye viwangi vya kimataifa ili tuuze hadi nje ya nchi. Kwa kufanya hivyo wote wataajiliwa na hatutatosha. Mfano kilimo kikiboleshwa then tuuze unga Africa mzima mbona watu tutaona mijin hakuna maana
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa bongo ni JKT ndio walikamatwa. Hawakuwa na silaha za kivita na hawakuwa na mafunzo zaid ya kivita
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

    Wewe mpaka leo unaamin Russia anapigana na Ukrain tuu. Mbona mchezo ungeisha kitambo tuu! Wapo wanajeshi wakigen wanapigana upande wa Ukrain kwa kujifanya wanajitolea. Wapo wataalam wa usalama kiheshi na special force wanaoisaidia Ukrain . Na wapo wanajeshi 1000 out of 2000 toka Ufaransa. Hapo...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Hakuna tena cha kuikoa Ukraine. Hata Marekani wameshajua ndio maana wanawapa misaada hewa

    Wale waliokuwa wanaikashfu Russia wapo wapi humu JF. Unasikia Super power anachakazwa na kanch kadogo Ukrain. Kipo wapi sasa.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Je, wajuwa Iran pamoja na vitisho vyote hawezi kuigusa Israel na kama akiwagusa huwo ndiyo mwisho wao

    Keshaarushiwa makombora 300. Japo wanasema 1% yamepiga target kitu ambacho damage always haiwekwi wazi
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Israel yapanga kumalizia hasira zake kwa watoto, wakina mama na walemavu huko Rafah

    Siku zote kupitia baadhi ya wachambuzi husema kuwa USA keshapiga mataifa makubwa ya kiislam na anammendea Iran. Wakati vita ya HAMAS na Israel imeanza USA alipeleka vifaa vya kivita Israel akimtisha iran asijaribu kuisaidia HAMAS na ikasemakana ni mtego kuwa aingie amalizwe mazima. Sasa mbona ni...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Tangu vita ianze Ukrain keshatafuna USD Bil 300 za msaada? sasa hiyo USD 60 cha mtoto. TABULELE@
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kinana nyoosha maneno Hayati Magufuli hakupora fedha halali za wananchi wema, bali aliwanyanganya mafisadi pesa za umma walizopora

    Hivi hawawezi kuwatumikia wa TZ bila kurusha vijembe kwa Hayati! Inaonesha mlishikwa pabaya wafaidika wa ufisadi!
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Baada kuwa gereza kubwa la wazi, Gaza imegeuka ni kaburi la sheria za kibinadamu

    Ushawahi kujiuliza kwa nini Hamas walikwenda Israel kushambulia! Au una conclude kwa ulicho kiona siku ile ya tarehe 7?
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT yamewafanya watoto wetu kuwa wakatili badala ya kuwa wazalendo; mitaala yake ifanyiwe mapitio

    Ndugu Muathirika pole! Kwa namna ulivyoandika inaelekea ni mauthirika hasa. Ila ulichoandika hapo umeelemea upande mmoja kutaka kuonesha waliopita JKT wote wanatabia mbaya ya ukatili. Je unataka kuniambia hakuna ambao wanatekeleza majukumu yao kwa weledi ?? Mawazo yako haya ni aina ya uongo...
Back
Top Bottom