Nina vitu vingi vya kuokota vikiwemo majiko ya umeme, friji, baiskeli, wheelchairs, microwave, mashine za kufulia, mpaka magari ya zamani vyote naweza kuvitoa bure kusaidia homeland.
Ila mambo ya kukamatana kodi ya mara tatu ya bei ya hivyo vitu siyawezi.
Tuache denial. Hapa ukieleza matatizo ya nchi lazima kuna watu watakupinga kwa denial (kukataa tuu)
Nimegundua hata ukisema umejinyea atatokea mtu wa kubisha kuwa hujajinyea
Mchuma kama huu wa 2012 unalipiwa ushuru kiasi gani? Ni left hand lakini. Na je TRA wanaangalia mileage? Nikiyaleta 6 hayo nikisema nimenunua dola mia nane mia nane watakubali? Na ni kweli hiyo bei ya manunuzi.
Dili hiyo sio hadithi ninayo hayo magari. Kuna Mnigeria anayepeleka Nigeria kama...
Hivi wewe unajua thamani ya gari la zaidi ya miaka kumi Marekani?
Kwanza hata yakiwa ya kukata mafundi majiko mnao wengi tu Bongo na skrepa ni biashara nzuri inaweka watu mijini.
Haya ni magari ya kukata spea?
Kiburi si maungwana!
Elimisha usileweshe.
Wengine tunaweza kupata magari kwa dola mia tatu sasa tuje kuyalipia dola elfu tatu za uchakavu. Hiyo sheria ni ya kimataifa au ni kiyabongongo?
Wengi mnashindwa kuelewa polisi wakizuiwa kuchukua rushwa hawatakamata watu kwa makosa ya kipumbavu.
Polisi akikuandikia faini una hiari kuilipa au kugoma kulipa na kujitetea mbele ya hakimu. Na polisi asipotokea mahakamani unashinda kesi. Akikosea vitu muhimu kama tarehe au wakati kwenye hiyo...
Ujinga unakuja hapa RAV4 ya 1998 ulipie TRA dola 2835.11
Wakati gari hiyo kwenye Ebay inauzwa dola 1485.00
Ina maana TRA wanachukua kodi zaidi ya mara mbili ya bei gari?
1-Piece Removable Hardtop for Toyota RAV4 (1998-2000) | eBay
Tatizo lako unafikiri mtoa rushwa hana hatia. Ili kukomesha hili suala tunatakiwa tuwe wanoko tuwapige picha wote polisi na mtoa rushwa. Wote wanaikosesha serikali mapato. Wote ni wezi.
Hizi simu zina camera sio kwa sababu ya kupigia picha za insta. Wala hizi simu hazina mitandao kwa ajili ya kufanyia umbea kwenye What's Up.
Polisi wanachukua rushwa barabarani na simu mnazo. Wakimuita mtu pembeni wachukueni video. Kama ni kumuandikia mtu faini wamuandikie hadharani.
Na nyie...
Ungeposti video ya kipigo hapa. Au angetokea mtu hapo mtaani kwenu akarekodi hilo tukio na kuliweka hapa. Halafu kama unalia ungeenda Kisutu na wewe kudai bilioni moja ya kushikwashikwa.
Ingekuwa vyema watunga sheria wakafanya mchakatuo wa kuweka vigezo vitakavyofanya upumbavu uwe ni kosa ni la jinai kwa nchi zisizoendelea. Ili tujenge utamaduni wa uwajibikaji uzembe na upumbavu vinapaswa kuadhibiwa na mahakama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.