Recent content by Zemdwange Mangendekuveya

  1. Z

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Toeni elimu namna yakuweka nyimbo hapa
  2. Z

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo ulikuwa unatumika kwenye kipindi fulani cha usalama barabarani,baadhi ya maneno unasema msukosuko wa mawimbi maji yakishakuingia,madereva wenye fujo yafaa kuwakimbia. Mwenye nao anipatie p'se
  3. Z

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye wimbo wa alawa,baadhi ya maneno wanasema alawa alikuwa fundi baiskeli kabla watu hawajamjua vizuri alawa akaiach a kweli Mwenye nao tafadhali msaada tutani
  4. Z

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ingia google andika snaptube then download hyo apk,baada ya hapo naamini matatizo yakutafuta nyimbo mbalimbali utakuwa umeyatatua kwa 99%
  5. Z

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nilishaupata ila namna yakuweka hapa jamvini,ujuz huo ndo sina
  6. Z

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mm naomba ile ya mafumu bilali na kama unatumia WhatsApp nikupm namba yangu unitumie
  7. Z

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nielekezeni namna yakuuweka hapa ndo kinanishinda but ninao huo wimbo
  8. Z

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Jamani wekeni na wa Maya wa bombenga
  9. Z

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta sana wimbo wa Maya wa mafumu bilali,mwenye nao auweke au anitumie
  10. Z

    Ifahamu historia ya Mafumu Bilal Bimbenga

    Mkuu kama unawimbo wake ule wa Maya naomba unitumie,maana naupenda sana
  11. Z

    Bei ya chakula na ukumbi wa sherehe hoteli ya Kilimanjaro Kempiski

    Pesa imekuwa ngumu,bei maelewano tu usiogope,hata disco la bakulutu ni 10,000 tu hapohapo
Back
Top Bottom