Ukimbizi sio permanent kwenye nchi gani?
Hizi nchi ukija kama mkimbizi ukipokelewa it is just a step towards uraia.
Usichanganye residence permit na permanent residence. Residence permit can be a long stay visa. By long stay, it means the visa is longer than 90 days.
Mkimbizi ana haki ya...
Kupata kibali cha ukimbizi is a long process. Lissu yuko kwenye process ya kuomba kibali cha ukimbizi. Wakati wa kungoja maamuzi ya mwisho, muombaji hupewa residence permit. Hiyo ndiyo aliyokuwa nayo Lissu.
Tundu Lissu hahitaji matibabu ya muda mrefu ya kuishi Belgium. Matibabu ya kitu gani yanayomlazimisha kuishi Belgium?
Vilevile Tundu Lissu hana kiasi cha pesa cha kumfanya epewe residence. Mtu anayepewa residence on the basis of kiasi cha pesa ni kwa misingi kuwa atawekeza na kutengeneza...
Chama cha madaktari (MAT) hakihusiki na usajili wa madaktari. Usajili hufanywa kwa mujibu wa sheria chini ya Medical Council of Tanganyika (MCT).
You may want to edit your heading if you intend to talk about MCT.
Lema hawezi kuishi Canada. Anachotafuta ni shule za watoto wake. Watoto wakishasettle shule Lema lazima atarudi Bongo. Hakuna mkimbizi hapo, kuna baba anayetafuta namna ya kusomesha watoto...