Recent content by Zeebix

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua bei ya kila kifaa kimoja nione budget yangu kama itaniruhusu

    Wadau nimejipanga kufanya manunuzi ya vifaa vifuatavyo ila nahitaji kujua bei ya kila kifaa kimoja nione budget yangu kama itaniruhusu msaada please kwa tulio pembezoni 1. Solar panel 200/180/120Watt na Betry N200/100 2. Portable Printer Naomba ufafanuzi kwa anaezifahamu vizuri Tafadhari 3...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Huu ndio muundo wa askari kwa majeshi yote duniani

    Nilizani niko kwenye vibanda umiza naangalia movie kumbe ni thread [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nasoma uwiiiiiih
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Upotoshwaji wa taarifa ya IMF; mwandishi ana lake jambo

    Nimekusoma kabisa taarifa yako haina Shaka Bali mtoa post ndio kaipotosha kwa kuchanganya nyakati na majira.
  4. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi nitaratibu sahihi ambazo mtu anapaswa kuzifuata toka enzi za urafiki, mahusiano, uchumba mpaka ndoa.

    Wewe ni shida, nipe experience yako je wewe umefanya/ulifanya hivyo ulivyosema
  5. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi nitaratibu sahihi ambazo mtu anapaswa kuzifuata toka enzi za urafiki, mahusiano, uchumba mpaka ndoa.

    Hahhahahahahahahaha, wewe sasa unatengeza mabomu yatakayolipuka badae
  6. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi nitaratibu sahihi ambazo mtu anapaswa kuzifuata toka enzi za urafiki, mahusiano, uchumba mpaka ndoa.

    Ndio vijana wengi au wachache hutumia njia hii siku hizi
  7. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi nitaratibu sahihi ambazo mtu anapaswa kuzifuata toka enzi za urafiki, mahusiano, uchumba mpaka ndoa.

    Mkuu sasa huoni unanitakia nikose baraka kabisa
  8. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi nitaratibu sahihi ambazo mtu anapaswa kuzifuata toka enzi za urafiki, mahusiano, uchumba mpaka ndoa.

    Shukrani nimekuelewa kiongozi
  9. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi nitaratibu sahihi ambazo mtu anapaswa kuzifuata toka enzi za urafiki, mahusiano, uchumba mpaka ndoa.

    Shukrani madia madia, kwa ushauri na maelezo murua kabisa
  10. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi nitaratibu sahihi ambazo mtu anapaswa kuzifuata toka enzi za urafiki, mahusiano, uchumba mpaka ndoa.

    Ahsante mkuu kwa mawazo mazuri
  11. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi nitaratibu sahihi ambazo mtu anapaswa kuzifuata toka enzi za urafiki, mahusiano, uchumba mpaka ndoa.

    Je kwa hatua hizo waweza pata mtu ambae ni sa sahihi kwa maisha ya ndoa ?
Back
Top Bottom