Recent content by zebri

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Tumeshuhudia ufanano kadhaa kwa maeneo ya Uislamu na kile kimeandikwa kwenye Biblia, na desturi za Uyahudi na Ukatoliki. Unajua sababu?

    Astaghafirullah, Mwenyezi Mungu akulaani wewe unayemdhalilisha Mtume wetu SAW pamoja na hao waliokutuma Siku ya hukumu kama utakuwa hujafanya toba kwa haya mabandiko yako hapa utakuja kujuta sana Ni hayo tu
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Al Azhar na kuunda Qur’an standard (1924)

    Ila nyie wakristo ni watu wa ajabu sana. Nyinyi hamuifuati dini yenu, in fact dini yenu hata huko ulaya ilikoanzia imeshakufa kitambo haipo ila roho zinawauma sanaaa kuona waislamu wanaifuata dini yao. Na hakuna watu wanaoifuata dini yao kama Waislamu duniani kote hanma... sasa hiki kitu...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Isra na Miraj kuhusu Muhammad kwenda mbinguni kuchukua swala tano ni kisa cha uwongo

    Haya sasa kapokee mshahara wako kwa bandiko lako hili. I hope umeajiriwa kwa kazi hii tu mana si kwa juhudi hii Sisi wapenzi wa Mtume Muhammad SAW hatutishiki, hatubabaiki na mabandiko ya kipuuzi kama haya Unapoteza muda wako bureee, laana inakuhusu
  4. Z

    JamiiForums Tanzania The true religion of GOD is Islam

    Alhamdulillah for Islam
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

    Ukweli mchungu ni kwamba: Waislamu ndio watu pekee duniani ambao wanaifuata mafundisho ya dini yao katika maisha yao ya kila siku. Na watu wa dini zingine wao hawafuati mafundisho ya dini zao na mafundisho hayo yamebaki kwenye makaratasi. Na hili ndio jambo linalowachukiza wengi wasio waislamu...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Quran haijabadilishwa na sisi kamwe hatuwezi kutunga kitabu kinachofanana na Quran.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Sasa badala ya kupingana na Quran kwa nini usiangalie kwanza hivyo vitabu vyako vya Taurati, Zaburi na Injili kama havijabadilishwa kweli? Najua una uhakika 100% kwamba hivyo vitabu vimebadilishwa. Ndio mana kuna version zaidi ya 1000 za Biblia na kila mtu anasema version yake ndio sahihi...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Je roho ya binadamu ni Mungu ndani ya akili yake Yenyewe?

    Ndugu yangu unapozungumza kuhusu mambo yanayomuhusu Mwenyezi Mungu basi uwe makini. Usikurupuke tu. Chukua Quran soma au vitabu vengine vye Mwenyezi Mungu. Kamwe usianzishe mjadala wa Mwenyezi Mungu kwa mambo usiyo na ujuzi nayo au kwa mambo ya mzaha, unaweza ukajikuta unapata laana na majanga...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Mara nyingi sana wanawake ndio huwa ni wahanga kwa kuonewa au kupigwa ndio mana hata sheria zinawatetea zaidi wao. Ila sometimes kuna wanaume ambao pia wanaonewa kweli kweli
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Tanzania kuna waislamu Milioni 22 tu sawa na asilimia 34.01% ya idadi ya watu wote, halafu ukiwaambia wanakataa wanasema wako wengi

    Sasa mbona kwenye sensa huwa mnakataa kipengele cha dini kisiwekwe kama nchi hii ina wakristo wengi kuliko waislamu? Ajabu ni kwamba wanaokataa kipengele cha dini kisiwekwe wakati wa sensa ni viongozi wa kikristo. 😃 Mnakuwa kama waisrael wanasema ile ni nchi yao ya ahadi ya miaka 3000 lakini...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Hezbollah huko Lebanon-kusini wanapata taabu sana wanapigika vibaya sana!!!

    Hebu wakumbushe Israel ule mpango wao wa kuwapiga Iran mana naona kama wamejisahaulisha hivi. Waachane na Hizbollah au Hamas wao kama nchi saizi yao Iran sio vikundi vya wanamgambo
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Hezbollah huko Lebanon-kusini wanapata taabu sana wanapigika vibaya sana!!!

    Sasa kati ya Hizbollah na wewe nani gaidi
  13. Z

    JamiiForums Tanzania ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

    Mpaka sasa mtemi wa Middle east ni Iran. Wengine hamna kitu
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

    Wewe mzee utakufa kifo kibaya sana. Kama usipotubia na kumuomba Mungu msamaha kwa makosa yako ya kumtukana Mtume Muhammad SAW kila wakati, na kumtukana Mwenyezi Mungu humu jamvini, basi jiandae mauti mabaya. Wewe una laana na usipoangalia unaweza kuambukiza laana hiyo kwa kizazi chako
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Houthi Ahmed al-Rahawi, ameuawa na Israel

    Sasa akifa kwani kuna shida gani? Watu wanapoingia vitani wanajua kabisa kuwa kuna kufa so ni kipi cha ajabu hapo. Si anateuliwa mwingine tu. Mbona Magufuli kafa na nchi haijasimama. Umeonaje pale Iran baada ya rais wao kufariki mwaka jana je kuna mabadiliko yeyote? Nyie ni wapuuzi tu. Yemeni...
Back
Top Bottom