Recent content by zebigmaster

  1. Z

    JamiiForums Tanzania iv elements ya karbu na nextdoor n club au bar

    Ebu niambien naskia n pazur zaid ya nextdoor Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekosa amani kwa uyu mwanamke.

    Nina 24 years Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekosa amani kwa uyu mwanamke.

    Toka jmatatu hajanitumia txt wala kunipigia cm mim kidume ndo nilikua nampigia lakn cm inakua bize akipokea ata ikiwa saa 2 usiku anasema anataka kulala jana usiku nmempigia hajapokea cha kushangaza leo idd et ndo ameanza yy kunitext nahis anataka kunipiga kiboom Sent using Jamii Forums...
  4. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe anataka nitume ela za matumizi kila siku

    Nina mchumba na anaish kwao nimejtambulisha kwao ila mama mkwe ni kikwazo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Ipi ni club nzur ya usiku bongo ?

    Element ipo wap nikapitie Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ipi ni club nzur ya usiku bongo ?

    ipi club kali kwa bongo kati ya izi 3? -Club nextdoor, -london lounge na maisha basement? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Club nextdoor, london lounge na maisha basement ipi club kali?

    ipi club kali kwa bongo kati ya izo 3? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mimba changa na hedhi?

    Jeh mwanamke akitunga mimba karibu na siku za hedhi jeh atapata hedhi? Na siku za hatar kwa mwanamke wa mzunguko siku 27-30 jeh siku zake za hatar n zipi. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Je, Mjamzito kupata hedhi kuna tatizo?

    Je, kama mimba imetunga karbu na siku za hedhi mwanamke anaweza pata hedhi? Na je mwanamke siku yake ya hatar n hip kama siku zake ni wastani wa 28-30 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahari milion 2 na nusu

    Maji ya kunde Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahari milion 2 na nusu

    Uyo bnt ajasoma kwao n gongo la mboto baba ake n mtu wa rukwa mama ake n mpogolo ... Amesoma mpaka fom 4 .. Akaenda hotel managenent field akumaliza saiv yupo hom tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahari milion 2 na nusu

    Hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahari milion 2 na nusu

    Ndugu yangu kaambiwa mali n miln 2 na nusu ...uyo aliemchumbia ni bint wa miaka 20 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

    Hakuna kitu kibaya kama kuroot simu Post sent using JamiiForums mobile app
  15. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kishika uchumba ni shilingi ngapi?

    Asnte mkuu Post sent using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom