Recent content by Ze_Papirii

  1. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

    Unajua maana ya kuhonga ww.??
  2. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

    Kwa Arsenal hapo sikupingi kabisaa
  3. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

    Maelezo mazuri, ila mimi nataka kujifunza tu binafsi sina mpango wa kuwa mwalimu itanilazimu kuchukua km mda gani kuwa vizuri kwnye martial arts hasa KungFu
  4. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

    Ni wapi wanafundisha KUNG-FU hyo ndo nataka nijifunze na mm sitaki mazoezi nataka skills tu, mazoezi nafanya kila siku
  5. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

    Mimi huwa sihongagi kabisa wanawake japo sijawahi kuwa na mahusiano stable sana na wala sijali mana kifedha nakuaga salama sana mm ni mchumi haswaaa kwa hvi viumbe, ahsantee kwa uzi mzuri👍
  6. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

    Naomba ufafanuzi mrefu namba 7 hyo ni martial arts gan znazofundishwa, ada zipoje na inachukua mda gan hyo kozi
  7. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

    Ligi zinakaribia kuanza wakuu, hadi sasa ni Jezi ya team gani inayoonesha dalili ya kutamba msimu huu tujuzane tuanze kuzisaka..👇👇
  8. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki Wenye Tija: Fahamu Kuhusu Ufugaji wa Samaki Jinsia Moja

    Hapa nimekuelewa vizuri sana
  9. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Agosti 1, Siku ya Kimataifa ya Bia, fahamu na zijue faida za Kiafya za utumiaji wa Bia

    Nikanywe Bia nyiiiiiiingiii sana leo..
  10. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

    Nitarudi hapa
  11. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

    Sijui wanakuaga na roho gani aiseee hasahasa wadada ambao wapo kwenye ofisi husika kwa mda mrefu🙌
  12. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wa Rhumba na zouk kwa wanawake na wanaume kuna wa kumfikia oliver Ngoma???

    Nyie nyie tuachaneni na mambo ya jinsia MONIQUE SEKA ni mashine nyngne yule mwanamama kwenye Zouk then OLIVER. Kwa upande wa Rhumba FRANCO, MADILU, MBILIA BEL.🙌🙌
  13. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania Biblia inasema Fungu la kumi apewe mlawi, Je hapa Tanzania kuna walawi? Je wachungaji ndio walawi ?

    Mimi nauliza tu, Je kwa makanisa haya ya sahivi hyo pesa ya Fungu la kumi(zaka) wanayokusanya wanaitumia vipi na wanaitofautishaje na sadaka ya kawaida.????
  14. Ze_Papirii

    JamiiForums Tanzania agano la kale ndio lina sheria ya fungu la kumi leo hii makanisa yanalidai, ila pia limekataza kitimoto,bikira tu ndie aolewe, why makanisa hayafati?

    Yaani suala la zaka linashangaza sana ndo kitu pekee madhehebu yote ya kikristu na waislamu wanakiunga mkono daaahh
Back
Top Bottom