Recent content by Ze Rock

  1. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Katika kukuza utalii, tutumie wageni wa kimataifa kutangaza vivutio vyetu

    Asante kwa mawazo yako, umechangia vema. safiiiii
  2. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

    Hili limeongelewa leo so bila shaka na wenyewe wameona not fair ngoja mabadiliko yafanyike ili matokeo yake yatakuwa wazi kabisa
  3. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

    Ngoja tuone,mm siyo msemaji wa serikali ila najaribu kusema kwamba hoja za wenye mamlaka zenye mlengo wa kusadia utendaji na kuondoa usumbufu unakubalika, labda wakiweka kwenye utekelezaji unaweza kuwasaidia pia tujipe muda tutaona matokeo. Yatafanyika au La!
  4. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

    Haitasidia chochote! Lengo wala si kuishi kwa kukomoana, Kitasemwa chochote kizuri na kibaya kupitia Wateliwa, wenye mamlaka na watu wote kwa rika tofauti tofauti wenye mitazamo chanya watasema na watu watanufaka.
  5. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

    Kiufupi haya ndiyo yanatakiwa kuwa mawazo ya vijana wenye kujitambua, hata kama hupendi ila kama unaona kitu chenye msingi wa kusaidia kweli watu kwa nini usikubaliane na hoja iliyowekwa mezani? Safi kwa kuwa na mtazamo chanya kweli hili, ubarikiwe
  6. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

    Si kila hoja yenye tija ndani yake inapokelewa kwa asilimia mia nabikitokea basi yote mema, kupingwa kupo, kukosolewa kupo ila inafaa zaidi kama ukaonyesha mbadala wa mawazo ya mwenzako. Kwa hiyo issue aliyoiongelea Naibu spika naamini matokeo yake yatakuwa wazi kama wakiweka kwenye utekelezaji...
  7. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

    Hoja inaiibiwa kwa hoja ebu onyesha u matulity basi, sema nini kifanyike ili kusiwe na utaahira kama ulivyosema! Vijana tunategemewa ktk taifa hili, kimawazo, kiutendaji n.k so onyesha ukomavu kwenye brain yako.
  8. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

    Ndiyo maana waziri mwenye dhamana amekubali mabadiliko hayo na ameonyesha moyo wa kusaida hili. Ebu vijana twende na wakati tuache ile tabia ya kukariri vitu itapendeza zaidi. Lengo ni kupaza sauti na kuhakikisha mabadiliko yenye Tija yanakamilika na watu wana nufaika na sauti zenye mlengo wa...
  9. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

    Tukiwa vijana katika Taifa tusiache kuzungumza mambo yenye tija kwa upana wake hii inasaidia kuimarisha mawazo chanya kwa Taifa letu kuliko kuwa na mawazo kama haya, yaani sisi vijana tu tunaonyesha kutokomaa vema kwenye kuinua hoja zenye tija unategemea mwanasiasa akishaona haya, anajua kabisa...
  10. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Katika kukuza utalii, tutumie wageni wa kimataifa kutangaza vivutio vyetu

    Wana JF, Hivi katika kukuza na kujitangaza ktk utalii wetu hasa kwa watu wa nje, wa ndani nitarejea tena itakuwa topic inayojitegemea. Hivi ni vigumu sana kuwasiliana na Club kubwa kubwa duniani zenye mashiko ktk nyaza/ medani za kimichezo zinazo tazamwa zaidi duniani kuwashawishi waje wapate...
  11. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

    Lakini kwa mujibu wa majibu ya Naibu waziri hakuonyesha kama kuna upungufu wa fedha na alimuahidi mbunge mmoja ambaye ana watu wake jimboni kwake yapata miaka mitatu hajalipwa akamwambia wawasiliane ili wastaafu hao walipwe. So nafikiri pesa zimetengwa na zipo na amini hivyo. Ebu tuangalie...
  12. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

    Tena sana, Naibu nimempenda sana kwa hili amegongea msumari wa mtoto vzr kabisa wakiliweka kwenye utekelezaji itapendeza zaidi.
  13. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

    Wasaaalam wana JF! Leo kwenye bunge, kipindi cha maswali na majibu kuna, mbunge alionyesha malalamiko ya ucheleweshwaji wa Mafao kwa wastaafu katika maeneo mbali mbali Tanzania. Katika kujibu Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira). Alijibu swali hilo kuwa wastaafu wanapata...
  14. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Kwenye Elimu ya msingi kuwe na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo ndiyo msingi wa kimaisha uliopo

    Safi inamaana wamekuwa wabunifu kwa style yao, safi kabisa... ila na sisi ndiyo maana nikasema mitaala iangalie vitu ambavyo vinatija zaidi na watoe vitu ambavyo vinatija! mfano kuna chuo kama D.I.T kulikuwa na masomo ambayo mtu ukisoma ukimaliza unajiuliza hivi advantage ya yale masomo ni nini...
  15. Ze Rock

    JamiiForums Tanzania Kwenye Elimu ya msingi kuwe na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo ndiyo msingi wa kimaisha uliopo

    Yaani comments nzr kama hivi tunawashinda hata wabunge, nimekusoma! Elimu yetu haiko stable kabisa, mfano hesabu unawekaje iwe multiple choice!!!! serious?!
Back
Top Bottom