Ze Rock
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 270
- 563
Habari wana JF
Hivi kuna ubaya kwenye masomo ya elimu ya msingi kukawa na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo kimsingi ndiyo msingi wa kimaisha uliopo hasa ukizingatia mabadiliko ya kiuchumi yaliyopo. Napenda kutoa mifano kama unaweza kuongeza nondo zaidi katika kuchangia siyo mbaya.
Mfano:
Kuwe na Elimu ya biashara yenye kumuelimisha mwanafunzi kujua nini maana ya biashara na vitu gani vya msingi anapaswa kuvijua hii itasidia kwa sehemu kubwa watu kuwa na uelewa juu ya vitu kama umuhimu wa kodi n.k
Tena kama darasa la sita au la saba wanaweza vizuri tu kuhandle hii
Kwa nini darasa la saba coz si wanafunzi wote wanaendelea na elimu za juu so hata kama atatafuta ujuzi ila anakuwa anaelewa umuhimu wa vitu vya kibiashara. Hii itaelimisha jamii kubwa sana kuliko hizi elimu za kufundishana ukubwani au pindi unapotaka kufanya biashara ndiyo unakutana nayo, uelewa unakuwa mgumu kidogo na hasa inakuwa kama shinikizo tu!
TALENTED STUDENT
Serikali ishirikiane vizuri kabisa na waweke utaratibu wa kuwekeza kwa wanafunzi wenye uwezo mkubwa kwenye masomo yao hii ikiwa na ubunifu wao ktk nyanja za elimu wanazo soma. Wapo watu wanauwezo mkubwa lakini wameishia kupata degree zao na wakaishia kufanya vitu tofauti kabisa na walivyosomea (Achana na wale wliopenda wenyewe) kumbe serikali ingeweza kuwatumia ktk ujenzi wa Taifa kadiri ya fani zao.
Naamini wataalamu wakizalishwa vizuri hata hawa viongozi wa juu wakiwekwa watu wenye ujuzi itachochea maendeleo. Mfano waziri wa mawasiliano anakuwa ni mtu ambaye amekuwa monitored kwamiaka mingi na uwezo wake hauna shaka akijumlisha exposure alizopata na kujua waliondelea wanafanya fanya vipi hadi wanafanikiwa.
Tuongezeee na mawazo yako!!