Recent content by ZE REALFIGHTER

  1. Z

    Wabunge Wawili wa CCM Waliopiga Kura za Hapana Jana ni Muafaka Wakajitoa Sasa!!

    Mkuu William tunajua wewe ni Mtoto wa Sultan Malecela,Usilazimishe mawazo yako mgando ndio yawe muafaka kwa taifa hili.Wewe ni mtu mzima na unajua maana ya Demokrasia acha unafiki usiwadanganye watu humu mtandaoni.CCM yenu mnayoishabikia hainatija tena kwenye hili taifa maana imeshindwa kuleta...
  2. Z

    Samuel Sitta: Ni janga la kitaifa katika mchakato wa katiba mpya

    Sitta ni Janga la kitaifa kutokana uwezo wake mdogo wa kiutendaji katika bunge maalum la katiba.Kusema kweli walompa kura kwa kishindo yamegeuka majuto kutokana na kushindwa kuwa fair katika mchakato mzima wa kujadili rasimu ya mzee Warioba. Sitta sio mtu mwema hata kidogo kwa taifa letu maana...
  3. Z

    Tumshukuru Mungu Sitta hakugombea urais na CHADEMA 2010

    Sitta ni Mnafiki sana huyu mzee anazeeka vibaya sana anazidiwa competence na Pandu.
  4. Z

    Chadema wakishika dola watasaini kukubali ushoga Tanzania

    Wewe Mpuuzi tu Shoga mwrnyewe.
  5. Z

    Uchaguzi Kalenga: Meya Jerry Silaa na Fredrick Mwakalebela waitingisha Ibumila na Mgama.

    Nyinyi CCM ni wapuuzi sana mnapiga watu hizo kampeni ni za kijinga mtashindwa vibaya mno Kalenga ngoja tuuu.
  6. Z

    Kikwete hajatoa kauli ya kuhamasisha vurugu. Ni uzushi wa watu wanaomchukia

    Unamtetea Kikwete ni Ndugu yako acha ushamba wewe jitetee nafsi yako acha kitetea Mtu anayevunja katiba kwa makusudi yake.
  7. Z

    CCM:Hamtabaki salama kama mkifanikiwa kuchakachua maoni ya watanzania ktk katiba mpya

    Tunataka Katiba Mpya itakayo tanguliza utu wa taifa letu mbele na sio maslahi ya Mabeberu wa nje na ndani ya Tanzania.Haki ya Mungu naapa CCM Mkifanikiwa kuchakachua Katiba mpya mjue Mungu atawalaani nyinyi na vizazi vyenu vyote,nilazima kama mnataka usalama mfuate maoni ya wananchi wengi.
  8. Z

    CCM:Hamtabaki salama kama mkifanikiwa kuchakachua maoni ya watanzania ktk katiba mpya

    Ni wazi kabisa ccm imejipanga kuvuruga mchakato wa katiba mpya kwa kulazimisha maoni ya CCM ndio maoni ya watanzania wote.Naomba CCM itambue iko siku moja wataondoka madarakani kwa hiyo iache kutanguliza maslahi ya chama mbele badala taifa , Huko ni kuwasaliti wà tanzania.Dhambi wanayotaka...
  9. Z

    Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'

    Huyu jamaa anatamaa na madaraka sana
  10. Z

    Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Wewe jamaaa ni mjinga sana unajiita tume ya katiba acha kuidhalilisha tume yetu hawana akili mbovu kama zako mpuuzi wew e.huwezi kushindana nachadema kenge wewe,akili yako fupi sana kama unahoja za msingi post na sio huu ujinga unaofanya wakudanganya watu wakati ukweli unafahamika kwamba ccm...
  11. Z

    Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Uliye post hapa unaonekana unaugonjwa wa akili maana ulichoandika ni vice versa.Unataiwa ukatibiwe ukichaa huo MILEMBE.
  12. Z

    Orodha ya Majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba hii hapa

    Katika kuhakikisha CCM Inaendelea kubaki madarakani na muundo wao mbovu wa serikali mbili,tayari wameshachakachua wajumbe wa Bunge maalum la katiba kwa kuteua zaidi ya 75% ambao ni makada wakubwa wa CCM.Kwa mwendo huu sidhani kama tutafika maana waloteuliwa wengi ni ma CCM kwa hiyo tujiandae...
  13. Z

    Mchungaji Mtikila kwenda Mahakamani kupinga mchakato wa Katiba Mpya!

    Huyu jamaa nimbabaishaji anatafuta umaarufu wa kipuuzi sana.
  14. Z

    Rais Kikwete, Tunaomba utimize ahadi yako ili tunapate Katiba Mpya kabla ya 2015

    Kwa heshima kubwa nakuomba Rais wetu Mh Jakaya Kikwete uzingatie ahadi uliyoitoa 2012 baada ya kukubali mchakato wa kupata katiba mpya Tanzania,nakumbuka ulituahidi WaTanzania kwamba unataka kuandika historia Tanzania kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya ambayo inatokana na wananchi wengi wa...
  15. Z

    Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

    Taswira ya baraza la mawaziri jipya halitoi tumaini la mabadiliko ya aina yoyote ya kiutendaji badala yake walaji wapya wameingia ndani ya mfumo ule ule.Watu makini wameachwa na kuwekwa watu dhaifu kama Mwigulu Nchemba huyu ni mropokaji tu na mpanga mipango ya kuhujumu upinzani na wasi wasi sana...
Back
Top Bottom