Recent content by ze cute

  1. ze cute

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi Ualimu

    Upo sehem gani mkuu...nipo tayari
  2. ze cute

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi Ualimu

    Hellow habari zenu....natumaini ni wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kimaisha Mimi ni mhitimu wa 2020 ngazi ya shahada (degree)..nimesoma bachelor ya ualimu katika masomo ya geography na History.. Nina uzoefu wa kufundisha secondary kwa form 1 mpaka form 6. Jinsia ni (ke)..kwa sasa...
  3. ze cute

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia kutapika kwa mtoto

    Habari zenu.. Nina mtoto wa miezi 10 ..tangu jana naona anatapika na kuharisha ila hachemki na ana uchangamfu tu..ameanza kuota meno..kuna jino la chini ndo linaota. Hii hali ya kutapika ina sababishwa na nini jamani na tiba yake ikoje nisaidieni. Nina mpango asubuhi nimuwahishe hospital
  4. ze cute

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me herufi R 08/6..ke herufi G 26/2..
  5. ze cute

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me herufi R 8/6..ke herufi G 26/2..
  6. ze cute

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Ke ni 7/3 herufi H..Me ni 8/6 herufi R
Back
Top Bottom