Recent content by zaz

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mandela kuna mengi ya kujifunza CCM na CHADEMA

    Alikua anasamehe ila alishindwa kumsamehe mkewe? Aliyemlelea watoto miaka yote alokaa gerezani akaishia kuoa mke wa rafiki yake. Alikua shupavu na mpenda haki. Ila kwa swala la familia alichemka
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wa Arusha, vitalu vya gesi na dharau za serikali!

    Na nyie mnaowaponda na kutaka kujua walichonacho wengine ni mashilingionea au? Sasa mtu akiitwa bilionea ww inakuuma nn? Oo ukinunua supu sasa na ww c ununue uitwe bilionea? Au ndio maneno ya mkosaji? Or wakifa ndio wanakua mabilionea! Ww ukifa nani hata vijiji vi 2 havitajua. Acheni wivu...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera polisi Moshi

    Polisi walishakamilisha ushahidi ndio maana wakasomewa maahtaka. Watu wamechoshwa na haya mambo bwana.. hakuna sheria ya dini wala ya nchi yetu inayoruhusu mtu kumuua mtu mwingine. Mimi niko moshi hii kesi imevuta watu wengi sana na ndicho kilichonifanya hata mimi kufika. Juzi kesi ilisomwa...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera polisi Moshi

    Polisi mkoa wa Kilimanjaro wamenifanya niamini kua pilisi wakiamua kufanya kazi wa naweza. Nafatilia kwenye vyombo vya habari kesi ya watuhumiwa wa mauaji ya Msuya wa Arusha. Jinsi kila wakati inaporipotiwa kuwa watuhumiwa kadhaa wamekamatwa tena wengine tunaambiwa ni wafanya biashara ma...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu "Kwanini tusilime bangi badala ya korosho?"

    Kuna jamaa anaitwa chusa anajua faida za hii kitu, coz yeye na wafanyakazi wake wote ni ganja tu. Akili zao zinawatuma kufanya chochote ila zaidi bangi yao inawatuma kuua . Bangi ni hatari sana kwa taifa.
Back
Top Bottom