Tafadhali zingatia huu ugonjwa unaweza kuleta matokeo matatu kulingana na uwezo wa mwili wako kupambana, mild, severe and critical hadi fatal. Tazama chart hiyo hapo chini
Stage of severity
Rough percentage of people with COVID-19
Mild disease from which a person can recover
More than 80%...
Elewa ugonjwa huu unaweza kuleta matokeo matatu, mild, severe and critical. Tafadhali angalia chart hiyo hapo chini na uzingatie
Stage of severity
Rough percentage of people with COVID-19
Mild disease from which a person can recover
More than 80%
Severe disease, causing breathlessness and...
what's wrong with you dude? why are you so hateful toward women? SHAME ON YOU AND THAT KIND OF THINKING!!! Hakuna kinachokutofautisha na hao wauaji sababu umejaa moyo wenye chuki kuu dhidi ya wanawake. I pray you find healing.
Mbona mada za kuwashusha na kuwaponda wanawake zimezidi sana humu ndani? Je ni dalili ya tatizo la kimaadili katika jamii yetu? Tatizo la upevu la kizazi cha wanaume wa wakati huu?
Well, kutokana na standard zilizowekwa na jamii mbalimbali duniani, inafahamika kuwa binadamu wapo wa viwango...
994: Joseph Kavaruganda alijua kuwa UN haitawasaidia wanyarwanda
Wakili, Joseph Kavaruganda, ambaye alikuwa Rais wa Mahakama ya Katiba, na Agathe Uwilingiyimana, Waziri Mkuu, wote waliuawa Aprili 7, 1994.
Siku 100 zilizopita waliiambia Umoja wa Mataifa kwamba ikiwa hawataingilia kati ili...
Wengine waliohudhuria walikuwa Waziri Mkuu Uwilingiyimana Agatha na Twagiramungu Faustin ambaye angekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Mpito.
Pia alikuwepo Mkuu wa UNAMIR, Jacques Roger BOOH-BOOH, na Balozi Dorah Mbezi wa Tanzania, ambaye alimwakilisha mpatanishi katika mazungumzo ya amani ya...
Kuna vitu vingi vinaendelea hapa. Je unajua changamoto gani za kimwili na kiakili mwanamke huwa anapitia baada ya kujifungua. Kuna kitu wataalam wanaita postpartum depression.Kwa third world countries hatufuatilii sana ila kama utaweza jaribu kufanya utafiti juu ya hili na usichoke kumuonyesha...
Mkuu ndio maana nikasema siwezi kuhukumu kwasababu sijui mengine yanayoendelea..? Nimechangia hapo tu mapenzi yalipoamishiwa kwa watoto
Je ni kuwa mkeo hakuonyeshi heshima, yaani anakudharau?
Je ni kuwa hana time na wewe kabisa, hata unapojaribu kuweka mazingira ya kuwa karibu nae?
Je baada ya...
Nadhani ni vicious circle, ukiwa kwenye situation kama ya Diamond unahitaji divine intervention ku break free. Sasa mwache amuige Diamond tuone anafika wapi, asije hapa kujitilisha huruma.
Kuna baadhi ya watu humu kwenye social forums, kwakuwa ni rahisi kuandika, basi wanaandika lolote bila kupima impact yake kwa jamii. Mambo yapo tofauti sana kwenye dunia ya kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.