Mke wangu amehamishia upendo wote kwa watoto. Je, ndio uhalisia wa ndoa zote?

Thanx kwann wadada mnakuwa ivo najitahidi kuwa baba bora kwa maslahi ya famili why...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna upendo wa mzazi kwa mtoto na upendo wa mke kwa Mume..Ni vitu viwili tofauti..sasa anapojaribu kupenda watoto na wewe ukawekwa pending dah..anakosea sana..

au labda ulimfanyia kitu kilichosababisha akaacha kukupenda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi we c mzalendo kwa mzazi wako hujajua n mangap magumu alipitia sometimes tunawatupia lawama tu wazee wetu akini ungekuwepo kipndi ngoma inachezwa ungejionea na ufanye maamuzi sahihi
Mzee wangu alifanya hivihivi. Ngoja nione sasa kama nitamtafuta.
Sahivi yuko analalamika anadai namwombea afe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mbona mambo za usaliti hamnaga nimeshafaham na familia hayo mengne nishawekaga pending sema tu kuna ka umbali coz m c nipo xculi lakini xo kigezo cha kutokuonesha upendo
Kuna upendo wa mzazi kwa mtoto na upendo wa mke kwa Mume..Ni vitu viwili tofauti..sasa anapojaribu kupenda watoto na wewe ukawekwa pending dah..anakosea sana..

au labda ulimfanyia kitu kilichosababisha akaacha kukupenda?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mandela1

Inategemea wewe na mke mnaishi vipi na mjiwekea malengo gani ya ndoa yenu. Mimi kabla ya watoto tulikuwa very close mpaka nikawa naitwa briefcase ya mume wangu yaani hawezi niacha.

Baada ya watoto tukajiwekea malengo lazima tuwe na time hata masaa machache ya sisi wenyewe wawili tu. Basi tukajiwekea utaratibu either tunakula lunch au dinner pamoja nje ya home au tunakuwa na evening walk.
 
Mkuu natafuta point yako hapo bado niko njia panda kuna kitu inaitwa nature itake nafasi yake lakini hata kama kuna namna ya kusema hii n familia yangu pande zote mbili kwa mke na mume ..no wajibu wa kila mmoja kuonesha upendo kwa kila mtu kama bibles inasema mpende jirani ako kama ndugu yako mwanamke n nan na hata asimpende mumewe sawa nafaham wanawake wanatakiwa kuwaheshim waume zao je heshima bila upendo iko wap ..
Tunafundisha nn watt wetu

Halafu wao ndo wakwanza mwanaume akibadilika kulalama
Ila namshukuru mungu kutupa wanaume kifua kipana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndio maana nikasema siwezi kuhukumu kwasababu sijui mengine yanayoendelea..? Nimechangia hapo tu mapenzi yalipoamishiwa kwa watoto
Je ni kuwa mkeo hakuonyeshi heshima, yaani anakudharau?
Je ni kuwa hana time na wewe kabisa, hata unapojaribu kuweka mazingira ya kuwa karibu nae?
Je baada ya kuona kuwa mapenzi yamepungua au kuamishwa kwa watoto, na wewe umesusia au kuna initiative umezifanya kuweka balance?
Je kabla ya kuja hapa kwenye forum, umeshafanya majadiliano yoyote na mwenza wako kurekebisha hiyo hali?
Maswali yapo mengi sana ili kupata muafaka, ila anayeweza kuyajibu na kuyatatua ni wewe na mwenzako.

Ndoa inahitaji kuweka juhudi sana, na kuna ups na downs. Ukishaelewa hilo utaweza kukabiliana na changamoto kama hizi.
 
Hiyo ni kawaida yao. Usipokuwa makini utajikuta hata nyumba unaikinai mbaya zaidi hawawi romantic tena na mvuto kwao hupotea.
 
Aise m namuelewa sana yule mwanamke since hazaa au amezaa siwezi nikatengamuda special ili niwe nae nataka everytime unless kama niko job na yy yuko busy tupilia mbali hayo hata sikuna sim conmunication n muhimu sasa unaongea na mtu kama umepigiwa na mku wa kituo cha polisi
Inategemea wewe na mke mnaishi vipi na mjiwekea malengo gani ya ndoa yenu. Mimi kabla ya watoto tulikuwa very close mpk nikawa naitwa briefcase ya mme wangu yaani hawezi niacha. Baada ya watoto tukajiwekea malengo lazima tuwe na time hata masaa machache ya sisi wenyewe wawili tu. Basi tukajiwekea utaratibu either tunakula lunch au dinner pamoja nje ya home au tunakuwa na evening walk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu m namwenzangu naishi Naye kizungu sna namuonesha upendo wa hali ya juu dizain kama ndo nilimapproach jana leo kanikubalia sijawahi mchoka mzee najaribu kuwa baba bora cjawahi na cfikiri kumuumiza,kumpiga na wala vitisho sometime nasema labda ndo nature ilivyo wacha itake place ama ndo penye miti hapana wajenzi?
Mkuu ndio maana nikasema siwezi kuhukumu kwasababu sijui mengine yanayoendelea..? Nimechangia hapo tu mapenzi yalipoamishiwa kwa watoto
Je ni kuwa mkeo hakuonyeshi heshima, yaani anakudharau?
Je ni kuwa hana time na wewe kabisa, hata unapojaribu kuweka mazingira ya kuwa karibu nae?
Je baada ya kuona kuwa mapenzi yamepungua au kuamishwa kwa watoto, na wewe umesusia au kuna initiative umezifanya kuweka balance?
Je kabla ya kuja hapa kwenye forum, umeshafanya majadiliano yoyote na mwenza wako kurekebisha hiyo hali?
Maswali yapo mengi sana ili kupata muafaka, ila anayeweza kuyajibu na kuyatatua ni wewe na mwenzako.

Ndoa inahitaji kuweka juhudi sana, na kuna ups na downs. Ukishaelewa hilo utaweza kukabiliana na changamoto kama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu m namwenzangu naishi Naye kizungu sna namuonesha upendo wa hali ya juu dizain kama ndo nilimapproach jana leo kanikubalia sijawahi mchoka mzee najaribu kuwa baba bora cjawahi na cfikiri kumuumiza,kumpiga na wala vitisho sometime nasema labda ndo nature ilivyo wacha itake place ama ndo penye miti hapana wajenzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kama hautajali, je watoto wenu wana umri gani?
 
Kuna swala la kisaikolojia hili linahitaji umakini kulielewa ni hivi: kama kipindi ambacho mlipokua hamjapata watoto kuna namna ambayo mke wako alipenda uwe na wewe ukawa ni mkaidi, na watoto mlionao ni wa kiume basi kuna uwezekano akajikuta amependa zaidi watoto kuliko wewe. Na pia malezi aliyolelewa mke wako kama alikua anapendwa na kudekezwa sana na wazazi wake na wewe hukua unampenda kihivyo basi atafidia kwa watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise m namuelewa sana yule mwanamke since hazaa au amezaa siwezi nikatengamuda special ili niwe nae nataka everytime unless kama niko job na yy yuko busy tupilia mbali hayo hata sikuna sim conmunication n muhimu sasa unaongea na mtu kama umepigiwa na mku wa kituo cha polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mko na shida kwenye uhusiano wenu. Kutenga muda wenu ni vizuri maana watoto wanawahitaji sana wakiwa wadogo au la msaidie kukaa na watoto muwe wote karibu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom