Recent content by zawido

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Utata viettel

    Mhuu hawa jamaa huwa siwaelewi
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu interview za Tanzania Postal Corporation

    Ni kweli nimekubali ni kheri upate kidogo kuliko kukosa hata hicho kidogo !NASHUKURU WANA JAMII
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu interview za Tanzania Postal Corporation

    Nashukuru sana wanajamii,mungu awapiganie.Ngoja nisubiri hiyo tar 24/07
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu interview za Tanzania Postal Corporation

    Duuuu !Wanaua jmn mhuu
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu interview za Tanzania Postal Corporation

    Wanajamii naombeni Msaada wenu kuhusu interview za TPC( Tanzania posts corporation) niliomba nafasi ya marketing officer, nimepigiwa simu leo kwamba tarehe 24/07 saa 3:00 asubuhi nifike kwenye interview. Kwa aliyewahi kufanya naomba anijuze wadau!
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Marketing officer at ppf

    Duu na Mimi niliomba hiyo nafasi ijumaa SAA 8:30asubuhi nilikuta missed call ya landline Ila nilivyojaribu kucall back ilionekana km huwezi kupiga ila wao wamaweza kukupigia.Nisaidie kupat hiyo no.iliokupigia ili niangalie labda ndo wenyewe.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyepigiwa simu na Advans Bank msaada please

    mwenye kufahamu Hii no.+255 901 761234.nimekuta missed call najaribu kucall back inaniletea message invalid no.duuuu .
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyepigiwa simu na Advans Bank msaada please

    Mimi niliapply mkuu ila sijapigiwa simu labda jaribu tena kupiga hiyo no.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Nina Utata Dhidi ya Vietel Tanzania Company

    Duu upo vzr sana we we! nimependa ushauri wako!Thnx
  10. Z

    JamiiForums Tanzania First National Bank wameanza kuita watu?

    poa mdafanga !
  11. Z

    JamiiForums Tanzania First National Bank wameanza kuita watu?

    wana jamii kuna mwenye update za Hawa watu wanaitwa First National Bank?atujuze!
  12. Z

    JamiiForums Tanzania PPF Waanza kuita watu

    Mungu awapiganie na kuwasimamia kwa ajili ya interview ya kesho.
Back
Top Bottom