Mkuu tatzo sasa hv mechi nyingi kuna wachawi yan unamwamini huyu na huyo huyo ndo anakupalaza kamtaji kako sijui na wachezaj huwa wanabeti[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tatzo la nchi yetu ya viwanda ndo hili yan mnashndwa kushirikiana kw pamoja polisi na wananch ili kusolve jambo hilo mnataka polisi ndo wafanye kaz hivi kwan wao polisi hawaogopi kufa au kujeruhiwa??? au ndo kusema wao hawana familia za kuwalilia??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.