Nawaomba wale waandishi wa habari wote watakaopata nafasi ya kuuliza maswali kwa raisi Magufuli waulize kuhusu umiliki wa kisiwa cha fungi Mbaraka #Lutham island. na je raisi Magufuli anamini vipi kuhusu kisiwa hicho?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.