Recent content by zam's son

  1. zam's son

    JamiiForums Tanzania Naomba syllabus ya english medium std 6 science & maths

    Jaman naombeni mwenye syllabus ya science and maths ya shule za english medium ya darasa la 6, Nitumien hapa au link itakayonisaidia kupata. Asanteni
  2. zam's son

    JamiiForums Tanzania Makaka wasomi na dada msomi walivyojinadi jana huko Arusha

    Wakili msomi maana yake ni wakili wa sheria.maana kuna wakili wa mazingira nk kn nk.
  3. zam's son

    JamiiForums Tanzania Makaka wasomi na dada msomi walivyojinadi jana huko Arusha

    Uchaguz ni saa ngap wakuu
  4. zam's son

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amenishangaza mara mbili juma hili

    Uvumilivu huo sinaga
  5. zam's son

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga: Rais kavunja katiba kuteua wabunge wa kiume 6, inataka wawe wanawake angalau 5

    Clap clap.km kuna kiumbe ambacho hakijaelewa tena hapa basi anatumia akili za mkopo
  6. zam's son

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa Uteuzi wa wabunge wa kuteuliwa na Rais

    Akili za nipige tafu hizi.aongoze nchi kwa jinsi anavyoona inafaa?atakuoa ww,mkeo/mumeo na watoto km ikimpendeza
  7. zam's son

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa Uteuzi wa wabunge wa kuteuliwa na Rais

    Makongoro Mahanga anasema wakati wanafanya marekebisho ya katiba ili kuwapa wanawake nafasi zisizopungua tano kat ya 10 yy alikua amekaa karib na Spk wa bunge mh Ndugai,sasa anasubr tar 31 ck ya kuwaapisha hao wabunge aone km spika atajfanya amekosea au amesaau hicho kipengele
  8. zam's son

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amenishangaza mara mbili juma hili

    Kaimu haapishwi
  9. zam's son

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amenishangaza mara mbili juma hili

    Kuna tofauti kati ya Makamu na Kaimu
  10. zam's son

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amenishangaza mara mbili juma hili

    Itabid akubali tu.naona mfano mzuri kwa wanaoizunguka nchi ya Gambie.east africa lazma iamke
  11. zam's son

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amenishangaza mara mbili juma hili

    Atoke au tumtoe 2020
  12. zam's son

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amenishangaza mara mbili juma hili

    #Twafa
  13. zam's son

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa Uteuzi wa wabunge wa kuteuliwa na Rais

    Point.toleo la kiswahili ni la 2000 na hilo toleo la english linalotaka wanawake kwa uchache kua watano ni marekebisho ya 2005
  14. zam's son

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amenishangaza mara mbili juma hili

    Wapo ila waoga
  15. zam's son

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amenishangaza mara mbili juma hili

    Akaongoze nchi ya wasukuma sasa km ndo hv
Back
Top Bottom