Recent content by ZamdaIssa

  1. ZamdaIssa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

    Inawezekana hajiamini huyo mumewako!kwahiyo anakushusha ili ujione takataka zaidi. Inawezekana pia nguvu za kiume zimeanza kupungua kwahiyo anakunyanyasa ili ukose kujiamini kabisa ujione haufai na huwezi kupata mwanaume wa kukupenda zaidi yake!yaani anakufanya uamini yeye ndio amekustiri...
  2. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa mafanikio kwa simba sc kama viongozi hawatozubaa

    Endeleeni kuuimbia mpira!sisi yanga tunauishi mpira!kwetu sisi muhimu ni point 3 na mwishowe kwapa tunanyanyua
  3. ZamdaIssa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri nzito inanitafuna. Nifanye nini?

    Hayo siyajui ila nilichokiona mimi ni hicho,pale walipokua wamepaki gari ni barabarani nilipopanga mimi
  4. ZamdaIssa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri nzito inanitafuna. Nifanye nini?

    Salaam wanajamvi!Natumai mu wazima wa Afya! Poleni wote munaopitia changamoto mbalimbali M/Mungu awafanyie wepesi Niende moja kwa moja kwenye mada husika. SIRI NZITO[emoji24]!! Wiki mbili zilizopita nilikua Nimeamshwa na kelele za kuku nyuma ya nyumba kwenye banda la kuku! Nikaenda kagua...
  5. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Dulla kaachwa na Zai 🤣🤣🤣🤣

    Hivi Ameachwa au ameacha?!
  6. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Yanga haitoambulia Clean sheet hata moja msimu huu , ina mabeki wazembe sana

    Clean sheet haina mashiko katika ulimwengu wa wabobezi wa soka!! Yaani league bora iliyosheheni wachezaji wenye viwango we unatokaje na clean sheet kila mechi sijui unbeaten?!msimu huu ni mgumu kuliko uliopita kwa timu zote! Kwa wabrazili hawa na wazungu usitegemee cleansheet nyingi
  7. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ujauzito wa wiki 41 na hakuna uchungu

    Ahsante sana
  8. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ujauzito wa wiki 41 na hakuna uchungu

    Ahsante kwa Faraja mpenzi
  9. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ujauzito wa wiki 41 na hakuna uchungu

    Ahsante mkuu tulienda ndio tukaambiwa hivyo!sasa mama amepata taharuki kubwa
  10. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ujauzito wa wiki 41 na hakuna uchungu

    Hospital alioenda ni Lugalo jeshini dar!ndio ameambiwa hivyo
  11. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ujauzito wa wiki 41 na hakuna uchungu

    Mungu asaidie kwakweli!na iwe hivyo maana wapendwa wake hatuna amani kabisa
  12. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ujauzito wa wiki 41 na hakuna uchungu

    Jamani msaada! Nina ndugu yangu ni mjamzito wa mtoto wake wa pili Kwasasa una muda wa wiki 41 ndio imeanza. Mimba yake ya kwanza alijifungua kawaida katika wiki ya 37 salama kabisa!sasa ujauzito huu wa pili umemsumbua saaana mpaka leo hii hajajifungua na hakuna dalili. Tarehe ya makadilio...
  13. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi Said usitumie lugha hii tena kwenye usajili

    Mimi ni Yanga lialia ila Hersi yuko sahihi!anawaambia ili wajitume!wasibweteke!!limtu kama Mayele anajionaga kama CR7 hivi jinsi anavyojiona yuko juu!! Bora hata alivyokosa Kiatu cha ufungaji bora maana angezidi kujiona keki ya Marble[emoji3]wakati hata Inonga tu anamtoa jasho la meno...
  14. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mjamzito

    Kapime Uti dear!mimi pia niko kama wewe ila nilikua napata dalili hizohizo!nikaenda hospital nikakuta uti!nimepata tiba sasa niko sawa hata sichechemei wala maumivu Uti inasababisha Kujifungua mapema kabla ya siku zako!nenda hospital na sio zahanati
  15. ZamdaIssa

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Manara kumpiga madongo ya wazi Barbara ni ukatili, binti wa watu almanusura azimie

    Haji ni kiumbe bwana!Mja haswa!!yaani anamdomo mchafu kuliko uchafu wenyewe[emoji23]!unaweza hata kumdhuru kutokana na mdomo wake wallah[emoji30]ana Phd ya kukera na maudhi
Back
Top Bottom