Recent content by Zambotti

  1. Zambotti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuna tatizo jipya: Mabinti ukiwaalika nyumbani wanang'ang'ania

    Bado una uvulana mwingi sana wewe..
  2. Zambotti

    JamiiForums Tanzania D25 wananchi tutaandamana kushinikiza usitishwaji wa mauwaji na utekaji nchini sisi hatukubaliani nayo na lazima wahusika tuwawajibishe

    Wewe uko eneo gani??. Na utaandama kuanzia wapi kuelekea wapi??
  3. Zambotti

    JamiiForums Tanzania D25 wananchi tutaandamana kushinikiza usitishwaji wa mauwaji na utekaji nchini sisi hatukubaliani nayo na lazima wahusika tuwawajibishe

    Wewe uko eneo gani??. Na utaandama kuanzia wapi kuelekea wapi??
  4. Zambotti

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anaongea kama mtendaji wa kata hii Uranium ndo ya kugombaniwa na Marekani

    Mazungumzo yake katika lugha za uchambuzi wa mambo ya vita yanaitwa 'Kujipapatua'
  5. Zambotti

    JamiiForums Tanzania Zimebakia siku ngapi kutimia 100 za Samia? Katiba mpya iko wapi?

    Makubwa niliyoyaona kwa macho tangu aapishwe 1. Kuteua waziri Mkuu Nchemba 2. Kuunda baraza la mawziri 3. Kuunda wizara ya vijana 4. Tume ya uchunguzi vurugu za uchaguzi 5......... 6............
  6. Zambotti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

    Nilivyooa tu, nikagundua furaha ya mke wangu ni mimi kuwahi kurudi nyumbani. Automatically nkaanza kuwapunguza masela wangu mmoja badala ya mwengine.
  7. Zambotti

    JamiiForums Tanzania Nikiwaambia wana Simba SC tuwe makini sana na Virusi vikubwa Vinne ndani ya Klabu yetu hamnielewi sasa kwa hili mtanielewa tu

    Wanatafuta namna ya kumla kichwa Ahmed wanaikosa
  8. Zambotti

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa Crown Sports, Hans Raphael na Geoff Lea wanabishana kama wanagombana wakiwa live kwenye kipindi

    Tuwekee huo mbishano kwanza na sie tuwasikie..
  9. Zambotti

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanabaraka sana ukiwasaidia mambo yako lazima yanyooke kwa kasi ya ajabu

    Kwenye Biashara yangu. Alikuja mama mmoja anahitajika nimuuzie bidhaa lakini alikuwa na pesa ambayo kama nitauza itakuwa imekula kwangu. Basi mama akalalamika sana kuwa nimuuzie kwa bei hiyo. Akaniambia nikimuuzia huenda mungu ataleta faida yangu kupitia wateja wengine na madua mengine kadha wa...
  10. Zambotti

    JamiiForums Tanzania Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

    Dah kuna huyo mwanetu enzi tunasoma sekondari 2006 mwamba alikuwa mtu wa mbeya somebody Mwangoka nadhani, alifiwa na mzee wake ilikuwa ajali ya gari au alianguka na pikipiki akakanyagwa pande za Mwenge mataa. Kituko ni ule msiba picha linaanza tunafika msibani wameweka mziki full buster...
  11. Zambotti

    JamiiForums Tanzania Samia kukinywea kikombe cha Harris Kamala Uchaguzi Mkuu 2025

    Wabongo tatizo tamaa
  12. Zambotti

    JamiiForums Tanzania Naona league ya NBC inahamia visiwani Mzizima Dabi kupigwa huko

    Mpira umeisaidia sana Tanzania bara kuwapumbaza watu kuachana na mambo ya siasa ya nchi. Kule Zanzibar bado wako vimbembele na siasa ya nchi yao. Wamejaribu kubust ligi yao angalau iwe na vibe kwa watu imefeli. The only option ni kuhamisha ligi ya bara isambae na Zanzibar hususani ni hizi...
  13. Zambotti

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha kufanya Utafiti Ili kujua kwanini Watanzania hawapendi kulipa Kodi. MwanaJf unaweza kutoa maoni hapa kusaidia Utafiti

    Sipendi kulipa kodi kwasababu siioni ikitumika kwa maendeleo ya nchi ipasavyo. Kumekuwa na ubadhilifu mkubwa wa pesa kwa watumishi wa serikali. Ufujaji wa pesa na matumizi yasiyo ya lazima kwa serikali, nadhani umeuona msafara wa makamu wa rais juzi. Hapa jana Kuna bilioni zaidi ya saba...
Back
Top Bottom