Mtu Yuko nje ya nchi ,Anaongea vile,wewe hujui waliyoko nyuma yake ni wa aina gani,tunategemea misaada labda kwa waliyonyuma yake,uliona yaliyotokea Libya na kwengineko ,then unaona Hana jipya?
My dear friend,anaweza kuwa na jipya jema au baya zaidi ambalo kuli contain itachukuwa miaka mingi...