Recent content by zakariam

  1. Z

    Hizi ndizo kauli zinazowapeleka Ikulu viongozi wa CHADEMA/UKAWA!

    Mnahangaika na sisi humu JF lakini wapiga kura wameamua hawataki uongo wa CCM bora fisadi huyo mmoja kuliko 100 waliobaki
  2. Z

    Wakazi wa dar si muhame jiji hili kha! Ndo maana utendaji kazi unakua mdogo

    Wanaotaka kuhamia DSM ni wengi lakini wanaotaka kuhama...wanazo sababu! Karibu DSM
  3. Z

    Je, wajua? - Special Thread

    Kwanza utambue simba ndiye Mkuu wa pori na hakuna anayesimama mbele yake. Na wakiwa na njaa simba ni balaa. Mara chache tembo au nyati dume mkubwa anaweza kupigana hasa simba akiwa mmoja. Mbwa mwitu hutembea kundi na mara nyingi simba anaogopa kupigana nao na pia siyo kitoweo chake bora
Back
Top Bottom