Recent content by Zaituni Maftah

  1. Zaituni Maftah

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 9 wa UVCCM, Dodoma: Rais Magufuli afuta bodi ya umoja wa Vijana! Awataka kutoogopa kujibu hoja za upinzani

    Mkuu wa Utawala Umoja wa Vijana wa ccm Omari ngwanangwalu amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na kupambana na rushwa PCCB Majira ya mchana eneo ulipofanyika mkutano mkuu wa umoja wa vijana mara baada ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM DKT,John...
  2. Zaituni Maftah

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis akamatwa na TAKUKURU. Ni kwa tuhuma za Rushwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Sadifa Juma Khamis (MB) amekamatwa na Maafisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) nyumbani kwake eneo la Mnada wa Zamani, Dodoma akigawa rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa UVCCM Taifa toka mkoa wa Kagera kwa ajili ya...
  3. Zaituni Maftah

    JamiiForums Tanzania Shaka ataka wachapakazi wabaki makao makuu UVCCM

    Na Mwandishi Wetu, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umewataka watendaji na watumishi wa Makao Makuu ya jumuiya hiyo kuanza kujipima, kujitathmini na kujipanga upya kimamakati kwa sababu muda wa kupiga maneno haupo ila vinavyohitajika ni uwezo binafsi na vitendo. Pia umoja...
  4. Zaituni Maftah

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Shaka Misenyi na Bukoba mjini yafana

    Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Mapema ya leo Ameikamilisha Ziara yake ya Kikazi katika Wilaya ya Misenyi na Bukoba Mjini yenye dhamira ya Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2020 na Kuimarisha Uhai Wa Chama na Jumuiya Mkoani kagera. Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka...
  5. Zaituni Maftah

    JamiiForums Tanzania UVCCM yatoa onyo kali na kuitaka TCRA kushughulikia matapeli wa mitandaoni

    TCRA WACHUKULIENI HATUA WANAOJIITA SAUTI YA KISONGE. Hivi karibuni kumeibuka page moja Facebook iliyojivika jina la "SAUTI YA KISONGE" Page hii imekuwa ikizusha mambo mbalimbali yasiyo na ukweli wowote ule na kusababisha kuzua Taharuki ndani ya jamii. Mfano wa uzushi wao ni hii leo tarehe 11...
  6. Zaituni Maftah

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kamati kuu ya CCM chafanya tathmini ya uchaguzi mkuu wa 2015, maazimio kupelekwa NEC

    Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichofanyika leo chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, kimefanya tathimni ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana, na kuibuka na mambo kadhaa ambayo yatafikishwa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)...
Back
Top Bottom