Ziara ya Shaka Misenyi na Bukoba mjini yafana

Nov 30, 2016
7
45
Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Mapema ya leo Ameikamilisha Ziara yake ya Kikazi katika Wilaya ya Misenyi na Bukoba Mjini yenye dhamira ya Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2020 na Kuimarisha Uhai Wa Chama na Jumuiya Mkoani kagera.Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Alipo tembezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyelwa Kuona Athari zilizo tokana na Mvua ya Mawe Zilizo Wakumba Wananchi wa kijiji Kangenyi Kata ya Kieluwa Wilayani Kyelwa

Mhandisi wa maji wilaya Misenyi ABdallah Gendaheka wa tatu kutoka kushoto akitoa maelezo mbele ya kaimu katibu mkuu wa UVCCM na msafara wake walipoutembelea mradi huo wa maji ambao kati ya vituo 15 ni vituo vi8tu vinavyotoa na saba kwa mwaka mmoja na miezi miwili sasa vimeharibika.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akipata maelezo toka kwa Afisa Mfawidhi wa Mpaka wa Mutukula Bw.Samwel Mori wilayani Misenyi Mkoani Kagera alipotembelea katika mpaka huo kuangalia shughuli za kihuduma katika mpaka huo.

Mapokezi ya Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipo Wasili Bukoba Mjini

Watendaji na wakuu wa Idara katika Halmashauri ya Manispa ya mji wa Bukoba wakimsikiliza Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipotembelea Manispaa hiyo

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndg:Yahya kateme wa tatu toka kushoto alipoingia na mgeni wake Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka wa pili kushoto katika kiwanda cha uzalishaji maji safi Bunena Spring Water katika manispaa ya mji wa bukoba wa nne kulia ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya bukoba mjini Ashraf kazinja

Katibu wa UVCCM Mkoa wa Kagera Dismas Zimbihire wa kwanza kulia akiongoza msafara na kumfikisha Kaimu katibu mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka katika eneo la uzakishaji Maji na ufungaji wa chupa katika kiwanda cha Bunena Spring Water kilichopo katika manispaa ya mji wa bukoba.

Makundi ya Vijana wajasiriamali wakiwemo Mamalishe,bodaboda,na machinga walipompokea kwa shangwe na hoihoi Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka alipokwenda kuwatembelea katika soko la machinjioni kwenye manispaa ya mji wa bukoba.

Kaimu katibu wa Idara ya Hamasa,Sera,Utafiti na Mawasiliana UVCCM Mtemi Slyvester yaredi akizungumza na makundi ya wajasiriamali katika manispaa ya mji wa bukoba kabla ya kumkaribisha Kaimu katibu mkuu UVCCM

''Nimefarijika saana na ziara ya mkoa wa Kagera,nimefurahi kuwakuta viongozi wa chama,Serikali kuu na Halmashauri za wilaya wakifanya kazi bega kwa bega kwa lengo la kuhudumia wananchi na kutekeleza matakwa ya sera za CCM zilizoainishwa katika ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020''Shaka alimueleza mkuu wa mkoa wa Kagera Meja jenerali Salum kijuu alipomtembelea ofisini kwake

''Nimekua nikifuatilia ziara zenu kwa karibu sana,nimeridhika na uibuwaji wenu wa maswala yenye manfaa,kuzindua miradi ya kimaendeleo lakini pia kuzungumza na wanachama wenu katika vikao vya ndani vya kisiasa.Changamoto mlizoziona serikali itaendelea kuzifanyia kazi na kupata utatuzi,tutasiliba na kuziba mianyayote inayopitisha wahamiaji haramu na kukomesha vitendo vya uhalifu,hatutashindwa kwa jambo lolote''Meja jenerali Kijuu alimueleza kaimu katibu mkuu UVCCM
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
5,116
2,000
Naitamani sana ccm hii..sitaki tena kusikia huu upuuzi unaitwa upinzani..t hakuna upinzani wa kuwalete maendeleo wananchi zaidi ya kujinufaisha wanasiasa na familia zao.
 
Sudysoko

JF-Expert Member
Aug 19, 2015
450
250

Hivi BAVICHA wapo wapi!?? Au wote wameenda kwenye uchaguzi wa msigwa na sosopi!?
 
Sudysoko

JF-Expert Member
Aug 19, 2015
450
250
Naitamani sana ccm hii..sitaki tena kusikia huu upuuzi unaitwa upinzani..t hakuna upinzani wa kuwalete maendeleo wananchi zaidi ya kujinufaisha wanasiasa na familia zao.
Chama cha mapinduzi sasa kimekaa kwenye format yake, wapinzani waandikie maumivu ya miaka 50 tena ndipo utakuja up in a nice wenye nguvu.
 
lackg

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
641
250
Naitamani sana ccm hii..sitaki tena kusikia huu upuuzi unaitwa upinzani..t hakuna upinzani wa kuwalete maendeleo wananchi zaidi ya kujinufaisha wanasiasa na familia zao.
Hata mimi naitamami ccm hii iliyowalipa wanakagera waliopatwa na tetemeko kwa wakati bila figisufigisu,.....
 
kaitamarogo

JF-Expert Member
May 23, 2016
408
500
MBONA HAJAKAGUA NYUMBA ZA MATETEMEKO NA WANANCHI WENYE ANYWAY SIJUI KAMA ANA CHEO KIKUBWA KUTETEMEKEWA HV
 
KASHOROBANA

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,244
1,500
Kagera watu wapuuzi kama huyu Shaka inafaa apokelewe kwa bakora!
Hawa ndiyo wanatumia pesa zenu za rambi rambi kwenye safari kama hizi
Anafaa apigwe huyu na waache kufika Kagera
Ayo mapokezi yako doctored sana, wanakagera nawafahamu kwa kila hali, si watu wa masiala masiala, na pigo watakalolitoa kwa CCM hawa taamini, nasikia wamepeleka Xmas uko kuwafariji, natmai si mpango wa Sirikali huo bali RC.
Mkuluuu mwenyewe anajua nguvu ya upinzani hata:-
 • anawazuia wapinzani kukutana na wananchi,
 • tujiulize kihoro cha ccm et al.. kuiogopa tume huru ya uchaguzi ni nini na kuishia kuwateua makada wao kuiongoza tume iyo?
 • Tujiulize kwanini ccm et al... kuiogopa katiba ya warioba,
 • hawajiulizi ni dola ya aina gani ambayo mda wote inategemea kuokolewa na Majeshi kwa nguvu zote,
Tabia za watu hawa lazima wategemee polisi na majeshi asilani for their survival (Kabila, Nkurunziza, Mugabe, Museveni, Albashir, Yahaya Jammeh, Kagame, Alsis, Salva Kiir, member katika iyo list ya (MSN) Hawa ni baadhi ya viongozi ambao lzm wategemee polisi, Jeshi n.k sababu tu ni kwa kuwa hawakubaliki na si chaguo la watu wao.
Na hayo yote ni ya nini kama wewe unauhakika kuwa unakubalika??? inshort CCM kwa matumizi makubwa ya dola haikubaliki na si halali.
---Kiufupi CCM ni wepesi sana kama fungu la pamba, wanajisifia uku ukweli kuwa hawakubaliki wanaujua, mateso wanayoyapata wafanya biashara, uvunjivu wa makazi ya watu inocent (Km kivule wamama, watoto wadogo wanalala nje kwa uonevu huu), kagera picha za waathirika zimesambazwa duniani kote wenye roho za kiutu wakachangia mwisho wanaambiwa wajenge kwa nguvu zao, wanafunzi kukosa mikopo, ajira zilizositishwa, mahospitali kukosa madawa, utekaji wa akina, ulimboka, Kibanda, saa8 n.k Ni nani hapo aipende CCM??? Lzm awe tahahira au mshirikina/ Mchawi/ Mwanga au kichwani ujitie ubongo wa maiti ili uwe unayefurahia kuwaona watu wakidhalilika mda wote.
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,389
2,000
RC atueleze ni kiasi gani kimekusanywa na ni wangapi wamesaidiwa mpaka leo kabla ya kuingia kwenye siasa
 
KASHOROBANA

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,244
1,500
Naitamani sana ccm hii..sitaki tena kusikia huu upuuzi unaitwa upinzani..t hakuna upinzani wa kuwalete maendeleo wananchi zaidi ya kujinufaisha wanasiasa na familia zao.
Mwambie mkuu atupe tume huru ya uchaguzi na utapigwa saa4 tu asubui siku ya uchaguzi, na ndo apo utajua kuwa unalazimisha kupendwa wakati kiukweli unajua kuwa unakubali kwa makada wenzako wapuuzi kama wewe
 
Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
521
500
Ayo mapokezi yako doctored sana, wanakagera nawafahamu kwa kila hali, si watu wa masiala masiala, na pigo watakalolitoa kwa CCM hawa taamini, nasikia wamepeleka Xmas uko kuwafariji, natmai si mpango wa Sirikali huo bali RC.
Mkuluuu mwenyewe anajua nguvu ya upinzani hata:-
 • anawazuia wapinzani kukutana na wananchi,
 • tujiulize kihoro cha ccm et al.. kuiogopa tume huru ya uchaguzi ni nini na kuishia kuwateua makada wao kuiongoza tume iyo?
 • Tujiulize kwanini ccm et al... kuiogopa katiba ya warioba,
 • hawajiulizi ni dola ya aina gani ambayo mda wote inategemea kuokolewa na Majeshi kwa nguvu zote,
Tabia za watu hawa lazima wategemee polisi na majeshi asilani for their survival (Kabila, Nkurunziza, Mugabe, Museveni, Albashir, Yahaya Jammeh, Kagame, Alsis, Salva Kiir, member katika iyo list ya (MSN) Hawa ni baadhi ya viongozi ambao lzm wategemee polisi, Jeshi n.k sababu tu ni kwa kuwa hawakubaliki na si chaguo la watu wao)
Na hayo yote ni ya nini kama wewe unauhakika kuwa unakubalika??? inshort CCM kwa matumizi makubwa ya dola haikubaliki na si halali.
---Kiufupi CCM ni wepesi sana kama fungu la pamba, wanajisifia uku ukweli kuwa hawakubaliki wanaujua, mateso wanayoyapata wafanya biashara, uvunjivu wa makazi ya watu inocent (Km kivule wamama, watoto wadogo wanalala nje kwa uonevu huu), kagera picha za waathirika zimesambazwa duniani kote wenye roho za kiutu wakachangia mwisho wanaambiwa wajenge kwa nguvu zao, wanafunzi kukosa mikopo, ajira zilizositishwa, mahospitali kukosa madawa, utekaji wa akina saa8 n.k
Utaropoka yote lakini CCM imekukamata kila Idara. Chadema hamna Sera za kuweza kuuza kwa wananchi. Mmebaki kurukia Matukio tu from no where. Mkuu kwani Kanda ya Ziwa Nyasa ndugu Mwenyekiti wenu si alikuja na jina la Mgombea kwenye Kiloba au yameisha kishkaji tu? Anyway ngoja niwaachie wenyewe nikihoji sana msije mkasema mimi ni mchochezi wa mambo yenu ya ndani ya Chama chenu.
BAVICHA hatuwaoni wapo wapi? au wameenda kanda ya Ziwa nyasa kupeleka lile Jina?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom