Mi kwa elimu yangu ndogo najua kua hizo zinafanya kazi kwa kufuata mfumo uitwao LOGIC GATES. Kama ulikua unafuatilia vipindi vya itv sabasaba na nanenane kulikuwa na wataalamu walikua wakielezea kuhusu hii mifumo. Taa ipo ambayo niya kawaida lakin swichi ipo katika mfumo wa sensor. Ama taa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.