Recent content by zailolly

  1. zailolly

    JamiiForums Tanzania Hakuna kati ya Nyerere, Lumumba, Nkrumah, Malcolm X, n.k aliyeikomboa Afrika

    For me atleast nyerere alikuwa patriot tofauti na Mandela 26 yrs prison alafu it went in vein maana south africa hadi Leo bado wanalia na apartheid policy
  2. zailolly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Usiniambie baada ya haya unataka kurudi kwa mumeo aisee songa mbele kama hakujua thamani yako Jana Leo ataijuaje zaidi atakurudisha kwenye maumivu Yale yale usijaribu piga moyo konde tafuta vibarua vingne zaidi
  3. zailolly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Thank youuu hahaha
  4. zailolly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau nilipopokelewa na dragon nilipokwenda kwa mganga

    Duuuh hataree
  5. zailolly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    Sasa siushatuambia Wana if woooote hahahahaha uiii
  6. zailolly

    JamiiForums Tanzania Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

    Mambo ya mjini jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. zailolly

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa siku anabadilisha nguo mara ngapi?

    Wew unamuonaga wapi kila saa utujuze na sie tukamuone, lakini Mimi mwenyew ni mwanamke nikishinda home nikifua nabadili nikilala mchana nikaoga nabadili Dera langu nikipika nikimaliza nabadili sembuse yeye raisi? Acha aenjoy life is too short
  8. zailolly

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukijichora tattoo, huolewi "ng'o!

    Naunga mkono hojaaaa hata Mungu hapendi
  9. zailolly

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni wasafi

    Jamaniiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. zailolly

    JamiiForums Tanzania Tumia maji ya mchele kukuza nywele zako

    Binafsi natumia maji ya mchele kwa uso pia inaact kama anti aging na wachina na wakorea wengi wanatumia ahsante kwa somo
  11. zailolly

    JamiiForums Tanzania I am not a Victim to R Kelly – Joycelyn Savage

    Unaona eeeh yaan wakikuamulia wanahakikisha wamekupoteza
  12. zailolly

    JamiiForums Tanzania I am not a Victim to R Kelly – Joycelyn Savage

    Lakini this is different bwanaa
  13. zailolly

    JamiiForums Tanzania I am not a Victim to R Kelly – Joycelyn Savage

    Wazungu wapo smart sana walichofanya awali kabisaaa ni kubrain wash watu kwamba he is a bad dude hvyo kama unavyojua marekani watu hawataki mchezo
  14. zailolly

    JamiiForums Tanzania The following are signs of fake nice people

    No one is perfect, but what I understand is atleast we should all consider humanity, sympathy and empathy to our fellow human, we should think before we act and ask our selves am I doing the ryt thing to my fellow what if it was me would I be satisfied with those actions? Hope the world will be...
Back
Top Bottom