Habari zenu ndugu zangu, nina mpango wa kuanzisha duka la vifaa vya pikipiki, ningependa kujuzwa mengi kuhusiana na biashara hii.
Binafsi hadi sasa nina mtaji wa 1m.
Karibuni.
Wakuu nasumbuliwa sana na ugonjwa wa pumu au mzio, kuna mda ikipanda napumua kwa shida sana na hua inasababishwa na vitu flan hivi mfano baadhi ya vyakula nikitumia kama dagaa, bamia but hivyo vitu nimeacha saivi.
Ila mawingu ndio yananitesa maana wingu likifunga basi pumu hunijia. Naombeni...
Huu ujumbe umekua ukitokea pindi nikitaka kufanya maombi ya kazi hata katika post ambazo zipo katika category yangu.
Nimejiunga mwaka huu mwanzoni mwa january, profile yangu inasoma 92%.
Naomba ufafanuzi kwa wenye uzoefu na haya mambo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.