Recent content by ZAIDIGE

  1. Z

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    NIMEPATA RAFIKI/WORKMATE AMBAYE TUTAENDA NAYE NA KUNUNUA MZIGO PAMOJA NA KUJA KUUZA PAMOJA-TUTAFUNGUA DUKA K/KOO
  2. Z

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    SAFARI YA CHINA TUTAIFANYA MARCH BAADA YA MWAKA WA KICHINA KUISHA
  3. Z

    Viwanja vinauzwa maeneo ya Goba

    Vp eneo la mbezi juu
  4. Z

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Shukrani acha nifanye tafiti ya spares za kuchukua na return yake itakuaje
  5. Z

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    nakupata mkuu, naomba kama una sample price list ya bei za.huko.
  6. Z

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    thanks kwa uzoefu wako kwa ndugu zako with 10m naweza kuanza hiyo business wth profit
  7. Z

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    itabidi nifanye sharing
  8. Z

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    poa mkuu najiandaa kuja kuchukua mzigo kama 10m kwanza
  9. Z

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    aksante sana, 300 - 400 ni uad au yuen?
  10. Z

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Nashukuru Mkuu; Kwanza uaminifu wa wauza hizo bidhaa upoje? wanaweza wakakupa bidhaa fake bila wewe kutaka? Mfano nikija nanunua dukani moja kwa moha au naweka order kwanza? Nikitaka order yangu ya ubora zaidi inawezekana na gharama inakua nafuu? Suala la wizi au ujambazi utapeli huko likoje...
  11. Z

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Mimi ninampango wa kwenda China kununua Spares za piki piki na kuja kuuza jumla na reja reja dukani kwangu nani anauzoefu na biashara hii haswa anayeenda china
  12. Z

    Wizi wa Kura Wanaswa, Mpango Mzima Huu Hapa

    Mpango wa mungu kuchukua nchi
  13. Z

    Mnyika amtetea vikali Dr.Slaa

    mwaga facts basi siyo kupanua mdomo na huna facts
Back
Top Bottom