Recent content by Zahwayo

  1. Zahwayo

    Kamwe usimwamini mwanamke

    Pole sana ndg,wanaokejeli ulichoandika hawajui maumivu unayopitia..kubwa jipe moyo mkuu,potezea na achana na huyo kahaba Mungu atakupa mfariji mwema zaidi ya huyo kibaka
  2. Zahwayo

    Watanzania tusidanganyike, tumepuuzwa kwenye mikataba ya DP World

    Kwa wakatoliki waliosali, Injili ya leo ilisomwa kutoka Mathayo 22:15-21. Ktk Injili hiyo kuna pahala Yesu aliwajibu Mafarisayo kuwa, ...basi mpeni Kaisari yaliyo ya kwake Kaisari na Mungu mpeni yaliyo ya kwake yeye. Nawatakia jumapili njema ya Umisionari wapendwa.
  3. Zahwayo

    Ninaomba nijibiwe, Waziri Mbarawa anao uhalali wa kushiriki maamuzi yanayoihusu bandari? (Kisheria)

    Makame Mbarawa ni waziri wa jamhuri irrespective anatokea sehemu gani ya Muungano ..hayo mengine wanayoongelea ni pambio TU ..soma katiba.
  4. Zahwayo

    Rais Samia asema itungwe Sheria itakayotoa muongozo kuwashughulia viongozi wanaofanya majukumu ambayo sio yao

    Nimefarijika na kufurahia sana wasilisho la leo la Tume ya Haki Jinai lilifanywa na Jaji Mkuu mstaafu Mh.Othman Chande. Juu ya yote nimependezwa na mapendekezo yaliyotolewa na approach aliyotumia Mh.Rais kuyatafutia ufumbuzi. Tendo zima na dhamira ya Mh.Rais ni ya kiutu na kibinadamu,maana...
  5. Zahwayo

    Pack up and go!,Kenyatta tells journalist.

    You have been too friendly H.E Kenyatta,rethink of your prudence,the world is aware now of your patience, act upon,detain those who temper with your mandate!!
  6. Zahwayo

    Mazishi ya Kingunge: Kanisa katoliki lijiepushe na double standard

    Roman Catholic INA taratibu zake madhubuti!!
Back
Top Bottom